SIMBA YATINGA ROBO FAINALI, MFARANSA AWAPA TANO WACHEZAJI WAKE
DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wameonyesha moyo wa upambanaji kusaka ushindi mbele ya AS Vitaya DR Congo. …
Browse all posts in this category.
DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wachezaji wake wameonyesha moyo wa upambanaji kusaka ushindi mbele ya AS Vitaya DR Congo. …
SIMBA wamepata ushindi wa bao 4-1 dhidi ya AS Vita katika mchezo wao wa makundi wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa Uwanja…
MWAKA mpya na mambo mapya ndani ya kikosi cha Simba, mara baada ya kuliweka sokoni basi lao la timu ambalo wamekuwa…
UNAAMBIWA Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, ambaye pia ni mwekezaji wa klabu hiyo, Mohamed Dewji ‘Mo’, ameamua kuichukulia mechi ya…
KOCHA Mkuu wa Simba Mfaransa Didier Gomes ametaja siri ya kiwango cha kipa wake namba moja Aishi Manula kuongezeka hivi sasa akiwa…
MECHI dhidi ya AS Vita ndio itaamua hatima ya Simba kucheza robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika au kusubiri kwanza mpaka matokeo…
KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula amesema wanataka kuandika rekodi ambayo itakuwa ngumu kufutika kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika (Caf). Simba…
KIKOSI cha Simba ambacho kinatarajiwa kuanza leo Uwanja wa Mkapa dhidi ya AS Vita, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika, hiki hapa…
LEO Aprili kikosi cha Simba kitakuwa na kazi ya kusaka ushindi mbele ya AS Vita kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika…
KLABU ya Simba imeamua kufanya kweli baada ya kuwashushia wachezaji wake gari lingine aina ya TATA Marcopolo (New Model) kwa ajili ya…
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Klabu ya Simba amesema kuwa kesho wanahitaji kupata matokeo chanya mbele ya AS Vita. Simba itawakaribisha…
KIUNGO fundi wa Klabu ya Simba asiyekuwa na madaha awapo dimbani Mzamiru Yassin amesema, hakuna timu ambayo inawatisha kuelekea kutetea kombe la…