Simba SC

Browse all posts in this category.

Post thumbnail placeholder
Simba SC

SIMBA SC WAISHINDA AL MERRIKH CAF

Bodi ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeisafisha Simba juu ya tuhuma zilizoibuliwa na Al Merrikh ya Sudan…

Mar 29, 2021
Post thumbnail placeholder
Simba SC

SIMBA WASITISHA MAZOEZI, SABABU NI AS VITA

 KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Didier Gomes, amewataka wachezaji wake wote wa kigeni waliopo kwenye majukumu ya timu za taifa kuhakikisha wanaripoti kambini Machi 30, mwaka huu ili kuendelea na…

Mar 28, 2021
Post thumbnail placeholder
Simba SC

GADIEL MICHAEL WA SIMBA ATAJWA AZAM FC

  UONGOZI wa Azam FC umefunguka kuwa hauna mpango wa kumsajili beki wa Klabu ya Simba, Gadiel Michael kwa kuwa hakuna mapendekezo yoyote kutoka kwa kocha, George Lwandamina ya maboresho…

Mar 27, 2021
Post thumbnail placeholder
Simba SC

KIPA NAMBA MOJA WA SIMBA MANULA AFUATWA NA WAARABU

  WAKATI kipa wa Simba, Aishi Manula akiendelea kung’ara kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Rais wa Klabu ya Al-Merrikh SC ya Sudan, Adam Sudacal yupo tayari kutoa ofa ya zaidi…

Mar 27, 2021