WAKATI NCHI NYINGINE ZIKIPANDA JUU KISOKA KWA UBORA…TANZANIA NA MAJIRANI ZETU TUNAZIDI KUZAMA FIFA…
Tanzania imeanguka kwa nafasi moja katika viwango vya ubora wa soka vilivyotolewa leo Juni 23 na Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani…
Browse all posts in this category.
Tanzania imeanguka kwa nafasi moja katika viwango vya ubora wa soka vilivyotolewa leo Juni 23 na Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani…
ACHANA na matokeo ya jana usiku dhidi ya Algeria, Taifa Stars imeumwa sikio na malegendari wa zamani, ikitakiwa kujiimarisha eneo la ushambuliaji…
BAADA ya kukubali kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Algeria, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania, (Taifa Stars), Kim Poulsen…
TIMU ya taifa ya Algeria imeendelea kuonesha ubabe kwenye kundi F kuwania kufuzu fainalo za mataifa ya Afrika (AFCON) baada ya kuichapa…
Nahodha na Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘TAIFA STARS’ Mbwana Ally Samatta amewataka watanzania kufika kwa wingi Uwanja wa…
Mshambuliaji wa Geita Gold FC George Mpole ameahidi kuendelea kufunga akiwa na kikosi cha timu ya taifa ‘Taifa Stars’ endapo Kocha Mkuu…
Nahodha na Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Mbwana Ally Samatta amesema wamejipanga kupambana na kuanza vyema Kampeni za…
Hapa ushindi ni Lazima…! Patakua hapatoshi Jumamosi hii, wakati ambapo timu yetu ya Taifa itavaana na timu ya Niger katika mashindano ya…
Beki wa Kulia wa Simba SC Shomari Kapombe ameondolewa kwenye kikosi Timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ kinachojiandaa na mchezo wa kuwania kufuzu…
Shirikisho la Soka nchini Tanzania ‘TFF’ limetangaza ratiba maalum ya maandalizi kwa timu ya taifa ‘Taifa Stars’ iliyoanza kambi jana Jumapili (Mei…
Timu ya Taifa “Taifa Stars” Jana Jumapili (Mei 29) imeanza mazoezi rasmi ya kujandaa na michezo ya kufuzu AFCON 2023 dhidi…
Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imeandaliwa mazingira mazuri ya kufuzu fainali zijazo za Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi…