MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI
Browse all posts in this category.
MUONEKANO WA GAZETI LA SPOTI XTRA KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAPILI
Msimu mpya wa ‘Nifuate’ ya msanii, Alikiba na mwanasoka, Mbwana Samatta imekuja kivingine huku wakitambiana kuelekea mchezo wao wa hisani, Juni 2…
Yanga imepania acheni utani jamani, hii ni kutokana na usajili wanaoendelea kuufanya na tayari wamekamilisha saini za wachezaji tisa kati hao sita…
Utatu hatari Simba, kipa Aishi Manula, Erasto Nyoni na Shomari Kapombe wametikisa kiberiti kwa kugoma kusaini mikataba mipya wakitaka wapewe mkwanja mrefu…
Mshambuliaji na Kiungo wa Team Kiba Shiza Kichuya na Feisal Salum wamefunguka kuwa kwa kikosi chao kilivyo lazima wawafunge timu Samatta kutokana…
BAO la dakika ya 65′ la mchezo lililofungwa na mshambulizi raia wa Zambia, Obrey Chirwa limeipata taji la kwanza la kombe la…
YANGA bado wako bize kwelikweli na mambo ya usajili ambapo juzi usiku walikamilisha usajili wa mastaa wawili ambao wanaaminika watabadili mambo na…
Azam FC imeandika rekodi ya kutwaa taji la Kombe la Shirikisho ‘Azam Sports Federation CUP’ kwa mara ya kwanza kufuatia ushindi wa…