KUMBE SABABU YA SIMBA KUFUNGWA NA YANGA NI LUIS NA CHAMA
SHABIKI wa Simba kutoka Dodoma ameweka wazi kuwa alikuwa anaipenda Simba tangu akiwa mdogo na alikuwa anaacha mifungo ili aweze kutazama Simba…
Browse all posts in this category.
SHABIKI wa Simba kutoka Dodoma ameweka wazi kuwa alikuwa anaipenda Simba tangu akiwa mdogo na alikuwa anaacha mifungo ili aweze kutazama Simba…
WACHEZAJI wa Dodoma Jiji inayonolewa na Kocha Mkuu Mbwana Makata leo Oktoba Mosi wana kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Simba…
KIKOSI cha Simba leo Oktoba Mosi, kina kazi ya kusaka pointi tatu mbele ya Dodoma Jiji kwenye mchezo wa mzunguko wa pili…
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha kuwa yeye ni mtu wa kazi hasa uwanjani na sio manenomaneno kwa kuwa kati ya…
MOHAMED Dewji, ‘Mo’, Mkurugenzi wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Klabu ya Simba ameweka wazi kuwa kwa sasa atabaki kuwa Mwanahisa ndani…
LEO Septemba 29, kikosi cha Yanga kinatarajiwa kuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar utakaochezwa Uwanja wa Kaitaba,Kagera.…
KOCHA wa Biashara United ya Mara ameweka wazi kuwa walikuwa wanahitaji pointi tatu mbele ya Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara…
MASHABIKI wa Biashara United wameweka wazi kuwa walikuwa wanahitaji ushindi mbele ya Simba ila ilikuwa ngumu kwao kwa kuwa waliamua kuwahurumia Simba…
SHABIKI wa Yanga amesema kuwa amefurahi kuona timu hiyo imelazimisha sare ya bila kufungana na Biashara United kwenye mchezo wa Ligi Kuu…
JAMES Ssetupa kipa namba moja wa Biashara United amesema kuwa anamshukuru Mungu kwa kumpa nguvu ya kufanya vizuri kwenye mchezo wa Ligi…
BAADA ya kipa namba moja wa Biashara United, James Ssetupa kutimiza majukumu yake kwenye mchezo wa jana Septemba 28 dhidi ya Simba…
NAHODHA wa Biashara United, Abdulmajid Mangalo amesema kuwa walikuwa na mchezo mgumu katika kazi yao ya kusaka ushindi mbele ya Simba kwenye…