Yanga SC

Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.

Post thumbnail placeholder
Yanga SC

ISHU YA MUKOKO TONOMBE KUEPA YANGA IPO NAMNA HII

KIUNGO wa Yanga, Mukoko Tonombe, amemuhakikishia Kocha Msaidizi wa AS Vita ya DR Congo, Raoul Shungu kuwa ataendelea kuitumikia Yanga kutokana na timu hiyo kumpatia huduma bora zinazomfanya atimize majukumu yake ipasavyo.   Mukoko…

Jun 16, 2021
Post thumbnail placeholder
Yanga SC

KIUNGO AMBUNDO: NITACHEZA YANGA

 KIUNGO wa Dodoma Jiji, Dickson Ambundo amesema kuwa hana mashaka na uwezo wake ikiwa atapata dili la kucheza ndani ya Yanga kwa…

Jun 15, 2021
Post thumbnail placeholder
Yanga SC

YANGA YAPIGA HESABU YA POINTI 15 BONGO

 UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba mechi zao tano ambazo zimebaki sawa na dakika 450 watapambana kushinda ili kupata pointi tatu zitakazowapa…

Jun 14, 2021
Post thumbnail placeholder
Yanga SC

YANGA YATUMA SALAMU BIASHARA UNITED

 NYOTA wa kikosi cha Yanga, Saido Ntibanzokiza amesema kuwa wana imani watafanya vizuri kwenye mchezo wao wa Kombe la Shirikisho dhidi ya…

Jun 14, 2021
Post thumbnail placeholder
Yanga SC

ISHU YA YANGA KUMSAJILI KAMBOLE, KAIZER CHIEFS WATOA NENO

 WAKATI Yanga ikiwa kwenye harakati za mwisho za kukamilisha usajili wa mshambuliaji matata wa Kaizer Chiefs, Mzambia, Lazarous Kambole, uongozi wa Kaizer Chiefs umetoa neno juu ya dili hilo.   Ipo hivi;…

Jun 14, 2021
Post thumbnail placeholder
Yanga SC

MZAWA DEUS KASEKE AWEKA REKODI YAKE YANGA

 NYOTA mzawa, Deus Kaseke anayecheza ndani ya kikosi cha Yanga ameweka rekodi yake ya kuwa mzawa anayefanya vema ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi.   Licha…

Jun 14, 2021