YANGA YAPOTEZA KWA KUFUNGWA BAO MOJA MBELE YA AZAM FC KWA MKAPA
AZAM FC leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
AZAM FC leo imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Azam FC katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja…
Kikosi cha Yanga kitakachoanza leo chini ya Kocha Mkuu, Nassreddine Nabi 1.Faroukh Shikhalo 2.Kibwana Shomari 3.Adeyum Saleh 4.Abdalah Haji 5.Dickson Job.…
REKODI zinaonesha kwamba, Oktoba 15, 2008, ilikuwa mara ya kwanza Yanga kukutana na Azam kwenye Ligi Kuu Bara ambapo matokeo ya mchezo huo, Yanga iliikaribisha vizuri Azam kwenye michuano…
BAADA ya Jumanne ya Aprili 20, wiki hii Yanga kushusha makocha wawili wapya kwa ajili ya kuinoa timu hiyo, ikumbukwe kuwa Alhamisi ya…
Na Saleh Ally UMEONA baadhi ya wale wanaofanya kazi na Yanga ambao sidhani kama itakuwa sahihi kuwaita viongozi wameshindwa kuona mshambuliaji wao, Saido Ntibanzokinza…
MSHAMBULIAJIwa zamani wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe amesema uongozi wa klabu hiyo umemlipa fedha alizokuwa anawadai lakini amesisitiza hana uhakika na hilo…
NASREDDINE Nabi, mrithi wa mikoba ya Cedrick Kaze ndani ya kikosi cha Yanga ameanza kazi na kikao kizito kwa wachezaji wa timu…
NYOTA wanne ndani ya Yanga wanahesabu siku tu kabla ya kufungashiwa virago ili kuweza kusepa kikosini hapo baada ya kushindwa kuonyesha kile…
NYOTA wa kikosi cha Yanga, Feisal Salum, ‘Fei Toto’ kwa sasa anaendelea vema baada ya kupata maumivu kwenye mchezo wa Ligi Kuu…
WAKATI timu ya Yanga ikishinda bao 1-0 dhidi ya Biashara United, nahodha msaidizi wa Yanga, Bakari Mwamnyeto na kiungo mkongwe Haruna Niyonzima walikuwa wakisugua benchi.…
BAADA ya kutua ardhi ya Tanzania, kocha wa viungo wa timu ya Yanga Jawab Sabri, raia wa Morocco amesema kuwa anafurahi kuwa…