NIYONZIMA: NITAPAMBANA KURUDI KIKOSI CHA KWANZA
NAHODHA Msaidizi wa Yanga, Haruna Niyonzima, amesema kuwa atapambana ili kupata nafasi kwenye kikosi cha kocha mpya wa Yanga, Nasreddine Nabi. Niyonzima kabla ya kuondoka kwa aliyekuwa Kocha Mkuu wa…
Fuatilia habari zote mpya za <strong>Yanga SC</strong>, kuanzia usajili, kikosi, ratiba na matokeo ya mechi hadi taarifa za wachezaji, makocha na mashindano. Soka la Bongo inakuletea taarifa za <strong>Yanga SC</strong> kila siku kutoka Tanzania na mashindano ya Afrika.
NAHODHA Msaidizi wa Yanga, Haruna Niyonzima, amesema kuwa atapambana ili kupata nafasi kwenye kikosi cha kocha mpya wa Yanga, Nasreddine Nabi. Niyonzima kabla ya kuondoka kwa aliyekuwa Kocha Mkuu wa…
KUMBE baada ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam FC wakati Yanga wakipoteza kwa kufungwa bao 1-0 kuna mashabiki Yanga…
KAMATI ya Katiba na Kamati ya Mabadiliko wamekamilisha ripoti ya muundo pendekezwa na kukabidhi kwa Kamati ya Utendaji ya Yanga. Ripoti hiyo alikabidhiwa Mwenyekiti wa klabu hiyo, Dk Mshindo…
BEKI wa kati wa Klabu ya Yanga, Abdalah Shaibu, ‘Ninja’ leo anatarajiwa kujiunga na kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nassredine Nabi…
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nassreddine Nabi leo Aprili 27 kimewasili salama Mbeya. Safari hiyo ni maalumu kwa ajili…
LEO muda wowote, kipa Metacha Mnata anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kukipiga Yanga. Kipa huyo hivi karibuni aliingia kwenye mgogoro na timu hiyo mara…
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nassreddine Nabi leo Aprili 27 kimekwea pipa kuwafuata wapinzani wao Tanzania Prisons, Rukwa,Songea. Yanga ina…
MBOTO shabiki mkubwa wa Klabu ya Yanga amesema kuwa alikuwa anamlaumu Morrison, (Bernard) kwa makosa ambayo anayafanya ila kwa sasa anatamani hata…
ALLY Kamwe mchambuzi wa masuala ya michezo amesema kuwa kupoteza kwa Yanga mbele ya Azam FC kwa kufungwa bao 1-0 ni somo…
IMEELEZWA kuwa Juma Mwambusi aliyekuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga amesepa ndani ya Yanga baada ya kutambulishwa kwa Nassredine Nabi ambeye ni…
HARUNA Niyonzima, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa bado wana nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa kuwa wana mechi…
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa licha ya kupoteza mchezo wao jana mbele ya Azam FC bado wana nafasi ya kufanya vizuri katika…