Trending Stories
View All
NDAYIRAGIJE WA KMC AMPOTEZA MBELGIJI WA SIMBA
KOCHA Mkuu wa KMC, Ettiene Ndayiragije amebeba tuzo ya kocha bora wa Ligi Kuu Bara kwa mwezi Mei.Ndayiragije ameongoza kikosi…
HAWA HAPA 11 WANATAJWA KUVAA JEZI YA SIMBA MSIMU UJAO
IMEELEZWA kuwa kikosi cha Simba kinafanya kazi ya usajili kimyakimya ambapo mpaka sasa hakijatangaza mchezaji hata mmoja ambaye amesajiliwa hata…
BARCELONA KUIPASUA MANCHESTER UNITED WAKIIKOSA SAINI YA GRIEZMANN
IMEELEZWA kuwa, Marcus Rashford atakuwa mbadala ndani ya kikosi cha Barcelona iwapo watafeli kuipata saini ya Antoine Griezmann ama Neymar Jr. Barcelona…
WACCHEZAJI WA TAIFA STARS WATAOKWEA PIPA KUELEKEA MISRI HAWA HAPA
Kikosi cha Taida Stars kinachoondoka leo kuelekea Misri kwa ajili ya michuano ya AFCON 2019Kikosi cha Taifa Stars kinachoondoka kinaundwa…
YANGA WAIPIGIA HESABU CECAFA
Wakati Simba wakiyatosa mashindano hayo, uongozi wa Yanga umethibitisha kupokea barua ya mwaliko wa kushiriki michuano hiyo mikubwa kwa ngazi…
NYOTA HAWA SABA WAPIGWA CHINI TIMU YA TAIFA YA TANZANIA
TIMU ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inatarajiwa kuanza safari leo kuelekea nchini Misri ambako itaweka kambi kwa ajili ya…
KOCHA WA KMC ANASUBIRI MASAA TU KWA SASA KUTIMKIA AZAM FC
IMEELEZWA kuwa tayari uongozi wa Azam FC umefikia hatua nzuri ya mazungumzo na kocha wa KMC, Etienne Ndayiragije kwa ajili ya kukinoa…
RASMI SIMBA YAJIONDOA MICHUANO YA KAGAME
Mabingwa wa Tanzania Bara, Simba SC wamejitoa kwenye michuano ya Kombe la Kagame iliyopangwa kuanza kutimua vumbi Julai mwaka huu…
BEKI WA ZAHERA YANGA MGUU NJE MGUU NDANI
BEKI wa Yanga, Paul Godfery ‘Boxer’ kipenzi cha Mwinyi Zahera kwa sasa haelewi chochote kinachoendelea juu yake msimu ujao kutokana…
Safari ya Etiene kwenda Azam imetimia?
Uongozi wa KMC umekiri kuachana na kocha wao Etienne Ndayiragije, baada ya mazungumzo baina ya pande mbili. Taarifa kutoka KMC…
KMC SASA KUSAJILI WA KIMATAIFA
BAADA ya kikosi cha Manispaa ya Kinondoni, KMC kupata zali la kushiriki michuano ya kimataifa msimu wa mwaka 2019/20 uongozi…
KUMEKUCHA NAMUNGO, BAADA YA KUIBOMOA ALLIANCE, SASA KUIBOMOA YANGA
BAADA ya Namungo FC kumsajili mshambuliaji wa Alliance FC, Bigirimana Blaise kwa kandarasi ya mwaka mmoja imeelezwa kuwa wanaiwinda saini…
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
MUONEKANO WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa Mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
HIVI NDIVYO PLUIJM ALIVYOIBUKIA YANGA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa anaogopa kufanya kazi na mzawa kwa kuwa ana mfano hai aliouona kwa…