BEKI Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ ametambulishwa usiku wa juzi akiwa mmoja ya nyota wapya wa Yanga akitokea Simba, lakini saini ya mkataba uliomfanya avae uzi wa Jangwani si mchezo kutokana na mkwanja aliovuna kutoka kwa mabingwa hao wa soka wa...
KIKOSI cha Simba kinaendelea kujifua kikiwa kambini jijini Ismailia, Misri kujiandaa na msimu mpya wa mashindano na kuna kazi ya maana inaendelea kufanywa na kocha Fadlu Davids akisuka kikosi kwa akili na hesabu zake na habari mpya ni mipango...
BODI ya Ligi Tanzania imetangaza mechi za timu nne za juu, Yanga, Simba, Azam na Singida Black Stars, ambazo zitapambana kuwania Ngao ya Jamii, kuanzia Septemba 11 hadi 14 mwaka huu.
Mabingwa wa Tanzania Bara na washindi wa Ngao ya...
WINGA, Offen Chikola, amesema kwake itakuwa rahisi kujitangaza na kupata soko la kucheza la kulipwa nje ya Tanzania baada ya kujiunga na Yanga.
Yanga juzi ilitangaza kukamilisha usajili wa Winga huyo wa zamani wa Tabora United.
Akizungumza jana jijini Dar es...
Leo hii wakali wa ubashiri Tanzania, Meridianbet wanakwambia kuwa suka jamvi lako la kibabe hapa ujiweke kwenye nafasi ya wale ambao wataondoka na mshindo wa maana. Jisajili na ubashiri hapa.
Tukianza na mechi ya Fredrikstad FK dhidi ya FC Midtjylland...
Ni msimu wa ushindi, Meridianbet imezindua rasmi promosheni mpya kutoka Super Heli, mchezo wa kasino ya mtandaoni unaokupeleka angani kwa msisimko wa kipekee na kwa promosheni hii mpya mchezo huu unakurejesha na zawadi kabambe kabisa, simu janja ya Samsung...
Kuwa bingwa ni rahisi sana ukiwa na wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet. Arsenal, Villa, Fenerbahce na wengine kibao wapo kibao kuhakikisha hubaki patupu. Unangoja nini sasa kubashiri na mabingwa?
Anza kusuka jamvi lako hapa ambapo Feyenoord Rotterdan ataumana vikali dhidi...
Wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni wanapata sababu nyingine ya kuamka kwa shauku kila siku, kufuatia ujio wa ofa kabambe ya Zombie Apocalypse, promosheni ya kusisimua inayotolewa kwa ushirikiano wa Meridianbet na Expanse Studios. Huu ni mwamko mpya wa...
Meridianbet inakuambia hivi, sasa unaweza kuweka jamvi lako kwa mchezaji ambaye unaona anaweza kushinda tuzo ya mchezaji bora wa msimu sasa. ODDS zao zinaanzia 7.00 na kuendelea hivyo usipitwe na chaguo hili sasa. Suka mkeka wako wa ushindi hapa.
Alexander...
TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeandika ukurasa mpya kwa ukanda wa Afrika Mashariki baada ya kuanza kwa kishindo michuano ya CHAN 2024, huku ikizidi kete majirani zake Kenya na Uganda waliokuwa kama wenyeji wenza wa mashindano hayo.
Ilianza...