TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeandika ukurasa mpya kwa ukanda wa Afrika Mashariki baada ya kuanza kwa kishindo michuano ya CHAN 2024, huku ikizidi kete majirani zake Kenya na Uganda waliokuwa kama wenyeji wenza wa mashindano hayo.
Ilianza...
MOHAMED Bajaber ni mali ya Simba, ambapo winga huyo ametua kikosini hapo kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Kenya Police FC ya nchini Kenya.
Bajaber aliyezaliwa Machi 15, 2003 jijini Nairobi nchini Kenya, kwa sasa ana umri wa miaka 22...
YANGA imeshaanza maandalizi ya msimu mpya wa mashindano kwa mwaka 2025-26 na juzi Jumapili mazoezi ya timu hiyo yalisitishwa kidogo kisha kufanyika kikao kizito kati ya mabosi wa klabu hiyo na mastaa wa timu hiyo huku mashine moja tu...
Sekta ya michezo ya kasino mtandaoni inaendelea kukua kwa kasi, huku kampuni kubwa zikihitaji ubunifu wa hali ya juu ili kuendana na matakwa ya wachezaji wa kisasa.
Kupitia Meridianbet, sasa kuna jina jipya linalovutia macho ya wengi, iMoon Gaming, mtoa...
KWA wasiojua ni Jumamosi ya Oktoba 5, 2024, Feisal Salum 'Fei Toto' alitakiwa kusaini mkataba mpya wa miaka miwili na Azam FC.
Mkataba huo ulikuwa ukiunganisha na ule aliokuwa nao awali baada ya kuondoka Yanga kitatanishi hadi kusababisha Rais Samia...
BAADA ya aliyekuwa nahodha wa Simba, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ kutimka kikosini humo inaelezwa kuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Fadlu Davids amemwachia msala Shomari Kapombe kwa kupendekeza beki huyo mkongwe kuvaa kitambaa cha unahodha.
Tshabalala ameondoka Simba baada ya miaka...
MSAFARA wa kwanza wa Simba tayari umeshatua kambini jijini Ismailia, Misri, lakini kuna kitu kimefanywa na mabosi wa klabu hiyo kinachoonyesha namna gani walivyopania msimu ujao wa mashindano kwa kuamua kutanguliza majina ya kipa na beki wa kati kambini...
MABOSI wa Yanga wameshamaliza kazi ya kusajili majembe ya maana kwa kikosi cha msimu ujao wa mashindano, ikiwamo kushusha makocha wapya katika benchi la ufundi na leo benchi hilo chini ya kocha Romain Folz linaanza rasmi kazi ya kukinoa...
Mwezi wa 12 wa mwaka huu unakuja kijanja kwani Meridianbet inatarajia kukupatia mkwanja wa maana endapo utaweza usuka jamvi lako la uhakika hapa. Nani kuongoza ligi siku hiyo ya Christmas?. Suka jamvi lako sasa.
Tarehe 25 Desemba bingwa mtetezi wa...
Katika harakati zake za kuendelea kuboresha huduma na kuongeza burudani kwa wateja wake, Meridianbet imezindua rasmi mtoa huduma mpya wa michezo ya kasino mtandaoni, anayejulikana kama TVBET. Hii ni hatua nyingine kubwa inayothibitisha kuwa Meridianbet si tu jukwaa la...