Home Blog Page 20
Huku ligi ikiwa imebaki wiki nne pekee ligi mbalimbali Duniani zianze, timu kadhaa zipo likizo na tayari kwa msimu. Lakini zinajiweka sawa kwa kucheza mechi mbalimbali za kirafiki. Na wewe una fursa nzuri tuu ya kusaka mshiko na Meridianbet...
Katika upepo wa kiangazi wa 2025, kuna gumzo moja tu linalotikisa mitaa, ofisi, na vijiwe vya kahawa, ni LOOT Legends kutoka Meridianbet. Sio mchezo wa kawaida huu. Ni safari ya ndoto, ya ujasiri, na ya ushindi mkubwa ambao hauhitaji...
KLABU kongwe nchini, Simba na Yanga, zimetembeza panga kwa upande wa wachezaji wa kimataifa kuelekea msimu mpya, huku zikilenga kuboresha vikosi vyao zaidi kwa ajili ya malengo makubwa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, imefahamika. Simba na Yanga zipo...
HUKU ikitaja sababu tatu za kumrejesha golikipa, Aishi Manula kundini baada ya kumpoteza kwa kipindi cha miaka minane, uongozi wa Azam FC, umesema ujio wa Aishi Manula katika klabu hiyo ni pendekezo la Kocha Mkuu Florent Ibenge. Klabu hiyo ilimtangaza...
KLABU ya Simba imesema kwa sasa viongozi wake wa ngazi ya juu wamekuwa na vikao kila siku kwa ajili ya usajili na kupanga mikakati kabambe kwa ajili ya msimu ujao, huku ikithibitisha rasmi kuwa imembakisha Kocha Mkuu, Fadlu Davids...
Mwaka uliopita, Chama cha Umoja wa Vilabu Afrika (ACA) chini ya uongozi wa Eng. Hersi Said, kilifanikiwa kushawishi CAF kutoa dola 50,000 kwa kila klabu iliyoshiriki Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL) na Kombe la Shirikisho (CAF CC) katika...
Nyingine tena kutoka kwa wakali wa michezo ya Ubashiri nchini. Meridianbet wanaonyesha kuwa wao ni zaidi ya burudani kwa kuja na promosheni kali kupita kawaida. Kupitia mchezo maarufu wa kasino mtandaoni wa Super Heli, sasa unaweza kujishindia simu mpya...
Kama unapenda michezo ya kasino mtandaoni au unataka kuijaribu kwa mara ya kwanza, huu hapa ni mchongo wa mwezi: kuwa rubani wa maisha yako kupitia mchezo wa Aviator kutoka Meridianbet. Kuanzia Julai 1 hadi mwisho wa mwezi, Meridianbet wana promosheni...
Meridianbet imeleta mashindano ya Playson Short Races ambayo yanakupa nafasi ya kushinda mamilioni ya pesa. Hii ni moja ya fursa kubwa sana ya kukupatia maokoto ya maana huku washindi wakifurahia promosheni hii. Playson Short Races ni mashindano ya kila siku...
SIMBA SC katika anga la kimataifa msimu wa 2024/25 imegotea nafasi ya pili kwa kupoteza mchezo wa fainali dhidi ya RS Berkane ya Morocco. Katika dakika 180, Simba SC ilifungwa jumla ya mabao 3-1, bao la kufutia machozi kwa Simba...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS