UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mashabiki wanapaswa kuwa na subira kwa wakati huu kuhusu kumrudisha nyota wao wa zamani Heritier Makambo ndani ya Yanga.Makambo msimu wa 2018/19 alikuwa kinara wa kutupia ndani ya Yanga ambapo alifunga mabao 17 huku...
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatatu
JACKSON Mayanja aliyekuwa Kocha Mkuu wa KMC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara amesema kuwa amewapa wachezaji wake mazoezi ya kucheza na wake zao wakiwa nyumbani ili kulinda vipaji vyao wakati huu ligi ikiwa imesimama.Mayanja kwa sasa ni Kocha Mkuu...
MARIO Gotze, kiungo anayekipiga ndani ya Borussia Dortmund saini yake imegeuka lulu kwa kuwaniwa na klabu kubwa ambazo zinahitaji huduma yake ikiwa ni pamoja na West Ham United, Everton na Roma.Matumaini ya klabu hizo ni kuipata saini ya nyota...
THOBIAS Kifaru, Ofisa Habari wa Mtibwa Sugar amesema kuwa watanzania na mashabiki wanapaswa wachukue tahadhari ya Virusi vya Corona kwani ni janga la dunia nzima.Kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona, Serikali ilizuia mikusanyiko isiyo ya lazima ikiwa ni...
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa bado haujajua hatma ya Ligi Kuu Bara kwa sasa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona.Azam ipo nafasi ya pili baada ya kucheza mechi 28 kibindoni imejikusanyia pointi 54 huku kinara akiwa ni...
MARCEL Kaheza, mshambuliaji wa Polisi Tanzania amesema kuwa kwa sasa anaendelea na program maalumu ili kulinda kipaji chake kuwa bora.Kaheza akiwa ndani ya Polisi Tanzania ametupia mabao saba na ana pasi tano za mabao mguuni mwake.Akizungumza na Saleh Jembe,...
JACKSON Mayanja aliyekuwa Kocha Mkuu wa KMC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara amesema kuwa kuna umuhimu wa wachezaji kuchukua tahadhari wakiwa nyumbani kipindi hiki kigumu cha kupambana na Virusi vya Corona.Akizungumza na Saleh Jembe, Mayanja ambaye kwa sasa ni...
JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Yanga amesema kuwa wachezaji wameshauriwa kuacha kula vyakula vyenye mafuta mengi ili kuepuka kuongezeka uzito ghafla.Kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo ni janga la dunia.Akizungumza na...
SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa kwa kipindi hiki kigumu cha maambukizi ya Virusi vya Corona wachezaji ambao hawatafuata program walizopewa watarudisha nyuma maendeleo ya timu.Kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara imesimamishwa ili kupisha maambukizi ya Virusi...