HARUNA Niyonzima, raia wa Rwanda anayekipiga ndani ya Yanga kwa sasa amesema kuwa kilichomfelisha kucheza mechi nyingi alipokuwa ndani ya Simba ni majeraha.Alipokuwa akikipiga Simba msimu wa 2018/19 akiwa chini Kocha Mkuu, Patrick Aussem alikaa nje ya Uwanja nusu...
NEYMAR da Silva Santos JĂșnior nyota wa PSG inayoshiriki Ligue 1 yupo kwenye hesabu za kurudishwa ndani ya Barcelona.Akiwa ndani ya PSG ametupia mabao 13 na timu yake inaongoza ligi ikiwa nafasi ya kwanza na pointi 68.Imecheza mechi 27 na kufunga...
WAKATI La Liga ikiwa imesimama kutokana na kupambana na maambukizi ya Virusi vya Corna kuna wachezaji ambao wametupia mabao 11 ndani ya klabu zao.Mwendo wa 11 tu huko La Liga upo namna hii:- Luis Suarez wa Barcelona ametupia mabao...
KIUNGO Mkabaji wa timu ya Yanga, Feisal Salum, 'Fei Toto' amesema kuwa kwa sasa anaendelea kufanya mazoezi ili kuwa bora na anachukua tahadhari ya kujilinda na Virusi vya Corona.Kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya...
ROBERT Lewandowski nyota anayekipiga ndani ya klabu ya Bayern inayoshiriki Bundeslinga anakimbikza kwa kucheka na nyavu.Amefunga mabao 25 amecheza mechi 23 na ametoa pasi tatu za mabao huku timu yake ikiwa nafasi kwanza na imefunga mabao 73.Nyota huyo mwenye...
MUONEKANO wa UKURASA wa mbele GAZETI la BETIKA, lipo mtaani nakaa yake ni bure kabisa
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano, lipo mtaani una nafasi ya kujishindia ndinga
MOHAMED Salah Hamed Mahrous Ghaly ndio jina lake huyu nyota anayekipiga ndani ya Liverpool akiwa ni raia wa Misri na anakipiga pia kwenye timu yake ya Taifa.Amezaliwa Juni 15,1992 ana miaka 27 ametupia jumla ya mabao 16 msimu huu...
SERIE A Ligi Kuu ya Italia kwa sasa imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.Mpaka inasimama vinara wao kwa utupiaji huku Ciro akimkimbiza Cr 7 kwa kumuacha kwa idadi ya mabao sita ipo hivi :- Ciro Immobile anakipiga Lazio...
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa ni wakati wa nahodha wa Simba, John Bocco kurejea Azam FC kwa kuwa ndio maskani yake ilipo.Bocco alijiunga na Simba msimu wa 2017 akitokea Azam FC yenye maskani yake Chamazi.Ofisa Habari wa Azam...