KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche amesema kuwa wachezaji watapambana kupata matokeo chanya kwenye michezo yote ili kurejea na kombe lao la Kagame. Azam kwa sasa ipo nchini Rwanda ambapo imekwenda kushiriki michuano ya Kagame na kesho itashusha...
REAL Madrid wajanja sana wameamua kuwapa wachezaji wawili mabosi wa Manchester United ili kuipata saini ya kiungo wao Paul Pogba.Imeelezwa kuwa Madrid kwa sasa inahaha kuipata saini ya nyota huyo ambaye anawindwa pia na klabu yake ya zamani ya...
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumamosi
LICHA ya kikosi cha timu ya Taifa ya Senegal kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Uganda kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora ya michuano ya Afcon nchini Misri, kocha wa Senegal, Aliou Cisse amesema kuwa alikutana...
KOCHA wa kikosi cha Kagera Sugar, Meky Maxime amesema kuwa kwa sasa wamejipanga kufanya usajili makini utakaowafanya walete ushindani ndani ya Ligi Kuu Bara.Msimu wa 2018-19 Kagera Sugar ilinusurika kushuka daraja jambo lililowapa darasa la kutosha na kuwafanya wajipange...
DEOGRATIUS Munish ambaye ameachana na Simba baada ya kumaliza kandarasi yake ya mwaka mmoja amesema kuwa kwa sasa bado hajajua ni timu gani ataichezea kutokana na mipango kutokamilika.Dida ambaye alisajiliwa na Simba akitokea timu ya Amatuks ya Afrika Kusini...
BAADA ya juzi Jumatano, Simba kumtangaza Ibrahim Ajibu kuwa mchezaji wao mpya, Katibu wa Baraza la Wazee la Yanga, Ibrahim Akilimali ameibuka na kufunguka kuwa mshambuliaji huyo alikuwa kama kirusi katika timu yao.Ajibu ambaye alijiunga na Yanga msimu wa...
Habari za ndani zinasema kwamba Kaizer Chiefs ina asilimia 85 za kumnasa Emmanuel Okwi, lakini Simba wamecharuka na kujipanga kivingine. Simba imeapa kwamba hata kwa kulipa faini ya kuchelewa lazima wahakikishe Okwi anabaki Msimbazi na wataelewana tu ingawa anawapiga...
Lanchi ya juzi haikuwa na raha kwa mashabiki wa Yanga, baada ya Simba kumtambulisha rasmi Ibrahim Ajibu kwamba amerejea Msimbazi.Simba imemfanyia kufuru nahodha huyo wa Yanga ambapo kila sekunde atakayokuwa akipumua hata kama atakuwa amelala nyumbani kwake watamlipa Sh116....
Kocha wa Simba, Patrick Aussems anatua nchini wiki ijayo na timu inakwenda kambini nchini Afrika Kusini.Habari za uhakika zinasema kwamba, Simba ilikuwa na mpango wa kwenda Ulaya lakini mpaka sasa wengi wanapendekeza Sauzi ndiyo sehemu nzuri na ina vifaa...