Home Blog Page 2764
Kocha wa Kenya, Sebastian Migne amekiri kwamba staa mpya wa Simba, Francis Kahata hakuwa na bahati kwenye Afcon ya msimu huu.Migne amekiri kwamba hata kwenye mechi na Tanzania hakuwa na wakati mzuri ingawa inawezekana alipania sana. Hata kwenye mechi...
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umefunguka kuwa kwa asilimia 90 umefanikiwa kukamilisha usajili aliokuwa akiutaka Kocha Mwinyi Zahera baada ya kusajiliwa wachezaji aliowapendekeza.Aidha, kabla ya Zahera kwenda kuitumikia timu yake ya Taifa ya DR Congo katika Michuano ya Afcon...
AJIBU ameliamsha Msimbazi baada ya kugomea kukabidhiwa jezi namba 23.Namba hiyo 23 ilikuwa inavaliwa na kiungo huyo mtaalam wa assisti, awali akiwa anaichezea Simba kabla ya kutua Yanga msimu wa 2017/2018 kama mchezaji huru.Inasemekana kuwa, Ajibu alishasaini mkataba wa...
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa sasa hauna papara na mchezaji wa kikosi hicho Gadiel Michael ambaye amegoma kusaini ndani ya klabu hiyo.Mwenyekiti wa Yanga Mshindo Msolla amesema kuwa kwa sasa Yanga imefanya usajili wa maana hivyo hawawezi kusumbuliwa...
NAHODHA wa timu ya Tanzania, Mbwana Samatta amesema kuwa licha ya kupoteza michezo yote waliyocheza kwenye michuano ya Afcon bado anajivunia uwezo wa wachezaji wenzake.Stars imetolewa kwenye michuano ya Afcon baada ya kucheza michezo yote mitatu bila kujikusanyia pointi...
IMERIPOTIWA kuwa Paul Pogba kiungo wa Manchester United ana mpango wa kuwaomba mabosi zake wampe ruhusa ya kuondoka ndani ya kikosi hicho kabla hawajafanya ziara ya kwenda Australia.Pogba kwa sasa amekuwa hana mpango wa kubaki ndani ya United baada...
BAADA ya kusaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Simba, kiungo Francis Kahata ambaye ametoka timu ya Gormahia mshambuliaji wa Nkana FC, Walter Bwalya amesema kuwa anamtambua vema Kahata amekuja kufanya kazi mashabiki watampenda.Kahata ambaye ni nyota ndani ya...
 PAUL Makonda, Mwenyekiti wa Hamasa wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kwenye michuano ya Afcon amesitisha mipango ya wachezaji wakongwe Kelvin Yondani na Erasto Nyoni kustaafu kuichezea timu hiyo.Hiyo, ikiwa ni saa chache mara baada ya wachezaji...
YANGA na Simba zimepigwa bao na Azam FC kuinasa saini ya nyota wa Kagera Sugar, Kassim Khamis ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya mabosi wa Dar es Salaam ambao kwa sasa wapo nchini Rwanda.Yanga na Simba walikuwa...
Na Saleh Ally, CairoUKITAKA kumuuliza kila mmoja kuhusiana na mengi yaliyokuwa yanajitokeza ndani ya kikosi cha timu ya soka ya taifa maarufu kama Taifa Stars wakati ikishiriki michuano ya Afcon, utapata asilimia angalau 15 tu ya majibu sahihi.Kawaida Watanzania...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS