STRAIKA wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi ameyaamsha tena mambo ndani ya klabu yake hiyo baada ya kuwaambia viongozi kwamba kama wanataka asalie klabuni hapo, basi wamuwekee benki kitita cha Sh milioni 115 kwa mkataba wa mwaka mmoja.Okwi aliye nchini...
Kazi ya kusajili wakali watakaohakikisha kikosi cha Mabingwa kinazidi kuwa tishio kwa wapinzani inaendelea.Mshambuliaji raia wa Congo DR, Deo Kanda (29) amejiunga na Mabingwa wa nchi Simba SC. Kanda amesaini mkataba wa mwaka mmoja kukipiga Msimbazi akitokea TP Mazembe ambapo...
Na Saleh Ally, CairoKOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Emmanuel Amunike ameendelea kusisitiza kwamba yeye hana cha kulaumiwa.Amunike amesema mara baada ya Stars kupoteza mchezo wake wa mwisho katika michuano Afcon.Taifa Stars ilifungwa mechi zote tatu za michuano hiyo kwa...
NA SALEH ALLYMIAKA 39 michuano ya Kombe la Mataifa Afrika maarufu kama Afcon kwetu ilikuwa ni hadithi. Safari hii timu yetu ipo hapa jijini Cairo nchini Misri na leo itashuka kucheza mechi yake ya mwisho ya hatua ya makundi.Suala la...
UONGOZI wa Klabu ya Yanga upo mbioni kumuongezea mkataba mpya kocha wake mkuu Mkongomani, Mwinyi Zahera wa kuendelea kukinoa kikosi hicho. Mkongomani huyo alijiunga na Yanga katikati ya msimu wa mwaka juzi akitokea Builcon FC ya Zambia.Kwa mujibu wa...
YANGA ndiyo timu pekee iliyofanya usajili wa haraka na kukamilika kabla dirisha la usajili kufunguliwa rasmi jana.Dirisha hilo la usajili linatarajiwa kufungwa Julai 31, mwaka huu na hakutakuwa na muda wa kuongezwa huku usajili wa Caf kwa klabu za...
Kipa namba moja wa timu ya taifa, Taifa Stars na Klabu ya Simba, Aishi Manula, anatajwa kuwa mchezaji wa kwanza mzawa kusaini kwa dau kubwa ambalo ni Sh milioni 120.Manula ni kati ya wachezaji walioboreshewa mikataba yao baada ya...
AARON Wan- Bissaka ambaye ni beki mpya ndani ya Manchester United amesema kuwa meneja wa timu hiyo Ole Gunnar Solkjaer ndiye amesababisha ajiunge na timu hiyo.Nyota huyo amejiunga na kikosi hicho akitokea Crystal Palace na ametambulishwa rasmi kuitumikia timu...