Home Blog Page 2771
UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa kwa wachezaji wote wenye vipaji na wanajua kucheza mpira ni zamu yao kujitokeza leo kwa wingi uwanja wa Mabatini ili kuanza mchujo kwa gharama zao.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting,...
Alichokizungumza Ofisa Mtendaji wa Simba, Crescentius Magori kuhusiana na usajili wa timu hiyo kwa wiki hii.
WAKATI mchezo wa mpira wa kikapu kati ya Tanzania dhidi ya Kenya upande wa wanaume ukichezwa juzi Jumamosi kwenye Uwanja wa Lugogo, Kampala nchini Uganda, wachezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Misri walitia aibu na kuzua vurugu...
Kikosi cha Taifa Stars kimekamilisha rasmi safari ya michuano ya AFCON huko Misri kwa kupokea kichapo cha mabao 3-0 dhidi ya Algeria.Katika mchezo huo wa kundi C, Stars imepokea kichapo cha tatu mfululizo baada ya kufungwa na Senegal kwa...
KIKOSI cha timu ya KMC Alhamisi hii kinatarajia kukwea pipa kuelekea nchini Rwanda kwa ajili ya kuwawahi wapinzani wao TP Mazembe katika michuano ya Kombe la Kagame.KMC ambao wanafundishwa na kocha Jackson Mayanja raia wa Uganda, ni miongoni mwa...
KOCHA Mbrazil aliyewahi kutamba na Taifa Stars na Azam, Itamir Amorin ameukubali usajili wa Wabrazil uliofanywa na Simba inayojiandaa na Ligi ya Mabingwa Afrika inayoanza Agosti 9.Itamir ambaye aliletwa Tanzania na Kocha Mbrazil mwenye heshima, Marcio Maximo kama msaidizi...
MARCUS Rashford ameingia makubaliano na timu yake ya Manchester United kwa kandarasi ya miaka minne huku akilipwa mshahara mnene.Rashford ambaye ni mshambuliaji wa timu ya Taifa ya England kwa sasa atakuwa analipwa Pauni 300,000 kwa wiki kwa mujibu wa...
Imeelezwa kuwa kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima yupo kwenye mazungumzo ya mwisho na timu ya As Vita ya Congo.Niyonzima ametangaza kuachana na Simba baada ya mkataba wake kumalizika hivyo kwa sasa yupo huru kujiunga na timu atakayokubaliana nayo.Niyonzima amesema...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS