Home Blog Page 2775
WAKATI uongozi wa Klabu ya Yanga ukiendelea kumpigia simu beki wake wa kati, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ inaelezwa tayari mlinzi huyo ameshasaini mkataba wa miaka mitatu na mmoja kati ya timu zinashiriki Ligi Kuu ya Jamhuri ya Czech barani Ulaya.Ninja...
Viungo nyota wa timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mudathir Yahya na Erasto Nyoni hawatakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kwenye mechi ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) mbele ya Algeria itakayopigwa julai Mosi majira ya saa...
Uongozi wa Yanga umetaja sababu ya kuwahi kuanza maandalizi ya kikosi chao kuwa ni idadi kubwa ya wachezaji wapya waliowasajili katika kuisuka timu hiyo ili iwe tishio msimu ujao.Yanga hadi hivi sasa tayari imefanikiwa kuwasajili wachezaji kumi ambao ni...
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imemuweka njia panda mrembo wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch ashindwe kujua asimame upande gani kati ya Taifa Stars na timu ya nchini kwao, Harambee Stars.Kwa mujibu wa chambuzi mbalimbali...
Imefahamika kuwa beki kiraka wa Simba, Shomari Kapombe amekubali kusaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kukipiga Msimbazi kwa dau la Shilingi Milioni 70.Kapombe ni kati ya wachezaji sita walioongezewa mikataba yao hivi karibuni baada ya kumalizika wengine ni John...
BAADA ya James Kotei kusepa mazima Simba na kutimkia kikosi cha Kaizer Chief ya Afrika Kusini kwa kandarasi ya miaka mitatu mambo yamezidi kupamba moto Simba.Mlinda mlango namba mbili wa kikosi cha mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Deogratius Munish...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS