Home Blog Page 2780
Kocha Mkuu wa timu ya Azam, Ettiene Ndayiragije raia wa Burundi amepanga kukiboresha kikosi chake kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Bara kwa kuwasajili wachezaji wapya wanne ambao wataenda kusaidiana na Obrey Chirwa.Chirwa ambaye hivi karibuni alisaini mkataba mpya...
Jina la mshambuliaji Rashid Mandawa lipo kwenye orodha ya mastaa wanaotakiwa pale Yanga.Kama ulikuwa unajua kuwa Yanga wamemaliza kufanya usajlli wa washambuliaji basi umejidanganya kwani wapo kwenye mpango wa kumsainisha Mandawa ambaye yupo kwenye michuano ya Kombe la Mataifa...
UONGOZI wa timu ya KMC, jana ulimtambulisha Mganda, Jackson Mayanja kuwa ndiye kocha wao mkuu ambaye ataanza kazi kwenye michuano ya Kombe la Kagame.KMC iliondokewa na kocha wao, Ettiene Ndayiragije ambaye ametimkia Azam FC na sasa imemshusha Mayanja ambaye...
MANCHESTER UNITED ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa beki Aaron Wan-Bissaka. Wan-Bissaka anatajwa kama miongoni mwa mabeki bora wa pembeni kwenye Ligi Kuu England.Klabu hiyo imefikia muafaka wa kulipa ada ya pauni milioni 50 (Sh. bilioni...
Imeripotiwa kuwa Romelu Lukaku ameamua kuondoka Manchester United, hii ni kwa mujibu wa wakala wake.Straika huyo mwenye umri wa miaka 26 anatazamiwa kuachana na timu hiyo na uwezekano mkubwa ni kuwa atajiunga na Inter Milan msimu ujao wa 2019/20.Wakala...
*Wakati mwingine wasialikwe kambini wakati wa mashindanoNa Saleh Ally, CairoWABUNGE walitaka kumtoa roho CAG, kisa aliwaita dhaifu, tena aliyeongoza vita hiyo ambayo wao waliita ni dharau ni Spika Job Ndugai.Huenda lilikuwa ni suala la matamshi akiwa na maana wao...
Usajili wa klabu ya Simba unaendelea, ambapo leo kupitia mitandao yao ya kijamii wamedhibitisha kumpa mkataba mpya beki wao wa kulia Shomari Kapombe.Shomari Kapombe amepewa mkataba wa miaka miwili ndani ya klabu hiyo. Shomari Kapombe bado anafanya...
Mbunge wa Jimbo la Starehe nchini Kenya na Mwanamuziki Charles Njagua maarufu Jaguar leo Juni 27 amefikishwa mahakamani akituhumiwa kutoa lugha ya chuki dhidi ya wafanyabiashara wageni hususani Watanzania na Waganda nchini Kenya.Mbunge huyo ataendelea kusota rumande kwa siku...
Beki wa kulia wa Simba Shomari Kapombe ameongeza mkataba wa miaka miwili kuichezea timu hiyo.Makubalia hayo hayo yamefikiwa baina ya klabu ya mchezaji kuendelea kutoa huduma kwa miaka miwili ijayo.Kapombe ambaye msimu uliomalizika hivi karibuni haukuwa mzuri kutokana na...
Wakati watu wengi wakiamini Juma Kaseja ni shabiki wa Simba Sc kutokana na yeye kucheza kwa muda mrefu katika klabu hiyo ya Kariakoo, leo amedhibitisha rasmi kuwa yeye siyo shabiki wa Simba.“Mimi siyo shabiki wa Simba SC,...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS