Home Blog Page 2783
MSHAMBULIAJI mpya wa kikosi cha Yanga, Juma Balinya aliyesajiliwa na klabu hiyo kutoka Polisi ya Uganda, amefunguka kuwa moja ya malengo yake kwa msimu ujao ni kuhakikisha anarudia kitendo alichokifanya nchinikwao cha kuwa mfungaji bora.Balinya ni miongoni mwa nyota...
KAMA Yanga hawatakaza uzi vizuri basi wapo mbioni kumkosa beki Mnyarwanda, Eric Rutanga ambaye wamekuwa wakimpigia hesabu kwa kiasi kikubwa kutokana na beki huyo kuwa njiani kutua Nkana FC ya Zambia.Rutanga ambaye anacheza nafasi ya beki wa kushoto, ni...
Kiungo mshambuliaji John Mbise amesajiliwa kwa mkataba wa miaka miwili kutumikia Wana wa Ruhangwa ya Lindi baada ya kuipandisha Ligi Kuu.John Mbisse aliepitia Simba kati ya mwaka 2014 na 2016 akiwa katika kikosi cha kina Mbaraka Yusuph,...
Kiungo mkabaji ambaye mkataba wake umemalizika na klabu ya Simba, Mgahana, James Kotei amesema haelewi juu ya hatma yake ndani ya kikosi hicho kutokana na kutopata mawasiliano na kiongozi yeyote wa Simba juu ya kuhitajika kwa msimu ujao.“Kwa sasa...
Ofisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara, amefunguka machache kuelekea mechi ya Taifa Stars dhidi ya Kenya Juni 27,  2019.
Jumamosi iliyopita inadaiwa kuwa viongozi wa Simba hawakuamini kile walichokiona kutoka kwa beki wao wa kati Mganda, Juuko Murshid alipokuwa akiitumikia timu yake ya taifa ya Uganda dhidi ya DR Congo katika michuano ya AFCON inayoendelea nchini Misri.Uwezo wa...
Kumekuwa na taarifa ambazo zinaeleza kuwa klabu ya Yanga huenda ikaachana na kipa wako Mkongomani Klaus Kindoki.Taarifa hizi zimesababisha mwenyewe kuibuka na kudai kiasi cha shilingi milioni 45 za kitanzania ili aweze kuondoka.Imeelezwa kuwa Kindoki anataka fedha hizo ili...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS