Home Blog Page 2787
MANCHESTER United wameipiga chini ofa ya kubadilishana mchezaji wao Paul Pogba na timu  ya Paris Saint Germain (PSG) kumpata Neymar.Pogba anaonekana ana mpango wa kusepa Old Trafford msimu huu baada ya kusema kwamba ni muda wake sahihi wa kupata changamoto mpya.Real...
Vunja mbavu na Vichekesho vya Watubaki kila siku za Jumamosi saa 3 usiku kupitia chaneli ya Maisha Magic Poa 144 inayopatikana kuanzia kifurushi cha Poa 9,900/= tu ndani ya @dstvtanzania pekee.Piga...
BAADA ya timu ya taifa ya DR Congo kupokea kichapo cha mabao 2-0 kutoka kwa Uganda, juzi Jumamosi, Kocha Msaidizi wa DR Congo, Mwinyi Zahera amesema kuwa chanzo cha kipigo hicho ni uchovu walioupata siku moja kabla ya mchezo...
BAADA ya hivi karibuni mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi kudaiwa kugoma kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia timu hiyo, sasa mambo yamekaa sawa.Habari njema kwa mashabiki wa Simba ni kwamba Okwi ambaye sasa yupo na kikosi cha timu ya...
UKIZITOA timu wenyeji wa michuano Misri, Morocco na Algeria ambao tayari wamekwishacheza na Tunisia wanaotaraji kucheza mchezo wao wa kwanza katika Kundi la Nne, timu nyingine 11 zenye wachezaji ‘weusi’ tu zina tatizo ‘kubwa la kufanana’.Nje ya...
Jana tulikuwa na mechi ya kwanza ya mashindano ya Afcon baada ya kukaa miaka 39 bila kushiriki michuano hii mikubwa barani Afrika.Kwa bahati mbaya mechi yetu ya kwanza ilikuwa dhidi ya Senegal, timu ambayo ni kubwa sana...
KIGOGO wa TP Mazembe yupo Jijini Dar es Salaam kufanya mazungumzo ya awali na Simba na Yanga. Si hao tu pia wanazungumza na wakala wa straika wa Serengeti Boys, Kelvin John ‘Mbappe’.Habari za uhakika ambazo Spoti Xtra imezipata kutoka...
Tazama makali ya kipa Farouk Shikalo anayetajwa kuwa kwenye mazungumzo ya kusajiliwa na Yanga.
WAKATI Yanga wakiwa wanakamilisha zoezi la usajili ndani ya kikosi hicho kwa msimu ujao imebainika kwamba viongozi wa timu hiyo chini ya mwenyekiti wake, Mshindo Msolla wanaandaa kambi babkubwa itakayokuwa ugenini kwa ajili ya kikosi hicho.Yanga wana mipango ya...
Mabingwa wa Ligi kuu Bara kwa msimu huu Simba SC wanaendelea tena na ratiba yao ya kutangaza wachezaji wapya.Simba imejiwekea ratiba ya kila ifikapo saa saba itatangaza wachezaji wapya iliowasajili kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Bara.Kupitia ukurasa wao...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS