Imeripotiwa kuwa klabu ya Simba imegoma kutoka kiasi cha fedha ambacho Nkana Red Devils wanakitaka ili kumuachia mchezaji wao Walter Bwalya.Taarifa za ndani zinasema Nkana wanahitaji kiasi cha shilingi milioni 800 za kitanzania jambo ambalo limekuwa ni gumu kuzitoa.Uongozi...
Tazama alichokifanya Mohammed Hussein 'Tshabalala' huko Misri akiwa na Taifa Stars mpaka baadhi ya waarabu wakawa wanamtazama.
Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Harmonize, kutoka WCB Wasafi, amefunguka mambo mbalimbali kuhusiana na tattoo alizochora mwilini mwake sambamba na kumtaja Ali Kiba. Sikiliza hapa
Lebo ya Msanii wa kizazi kipya inayomilikiwa na msanii Ali Kiba 'Kings Music' imemtambulisha msanii mwingine mpya.
Winga wa klabu ya Lipuli Fc yenye makazi yake mjini Iringa, Miraj Athumani, huenda anaelekea katika klabu ya Simba Sc baada ya kupost picha yake leo akiwa pembeni ya bango la Simba Sc.Miraji aka Sheva, mfungaji wa...
UONGOZI wa Azam FC chini ya Ofisa Mtendaji Mkuu, Abdulkarim Amin kwa kushirikiana na benchi la ufundi lililo chini ya Kocha Mkuu, Ettiene Ndayiragaje umewaongezea mkataba wachezaji wake wawili leo ili waendelee kuitumikia timu hiyo msimu ujao.Nyota hao wawili...
Watu 29 wamejeruhiwa baada ya lori kugonga treni jijini Dodoma. Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Protas Katambi, amesema leo asubuhi Jumanne Juni 18, 2019, kuwa ajali hiyo imetokea jana saa 5.30 usiku.Amesema ametoa maagizo kwa vyombo vya usalama kumsaka...
MLINZI wa timu ya taifa ya Kenya (Harambee Stars), Joash Abong’o Onyango, amezua mijadala kwenye mitandao ya kijamii baada ya picha yake kusambaa akiwa akiwa na mwonekano mpya wakati wa maandalizi ya fainali za AFCON 2019.OnyangoliJanuari 31, 1992, hivi...
MANCHESTER UNITED imewasiliana na uongozi wa West Ham United kuona namna gani wanaweza wakakamilisha dili la kumpata mchezaji Declan Rice.United wameonyesha uhitaji mkubwa wa kumpata kiungo huyo wa West Ham baada ya kufanya vizuri ndani ya Premier League.Meneja wa...