Home Blog Page 2807
KOCHA wa zamani wa timu ya Yanga, Azam FC na Singida United Hans Pluijm amesema kuwa itachukua muda mrefu kwa mbadala wa mshambuliaji wa Heritier Makambo kuvaa viatu vya mshambuliaji huyo ndani ya ligi.Pluijm amesema kuwa kwenye suala la washambuliaji...
IMEELEZWA kuwa baada ya uongozi wa timu ya Polokwane FC inayoshiriki Ligi Kuu nchini Afrika Kusini kufeli kuipata saini ya nahodha wa Simba, John Bocco, sasa wamegeuza kibao kwa kumtaka nyota mwingine akazibe nafasi ya Bocco.Habari zimeeleza kwamba baada...
UONGOZI wa Simba leo umemtangaza aliyekuwa mlinda mlango wa Yanga Beno Kakolanya kujiunga na kikosi hicho msimu ujao kwa kumpa kandarasi ya miaka miwili. Kakolanya alivunja mkataba wake na Yanga kwa kudai stahiki zake hali iliyoSimba sasa inakuwa na...
UONGOZI wa Singida United umesema kuwa wamejitokeza wachezaji zaidi ya 500 kwa ajili ya kufanya majaribio kwenye kikosi hicho ambalo lilianza Juni 12 litakamilika Juni 16.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Singida United,Cales Katemana amesema kuwa wamepokea jumla...
SELEMAN Matola amepewa kandarasi ya kuinoa timu ya Polisi Tanzania iliyopanda Daraja msimu huu kushiriki Ligi Kuu Bara.Matola ambaye alikuwa kocha wa Lipuli ametambulishwa leo wa ajili ya kuanza kuinoa timu hiyo na atafanya kazi kwa kushirikiana na Ali...
UONGOZI wa Namungo FC umesema kuwa kwa sasa haufikirii kusajili wachezaji wa majaribio na badala yake wanafanya kazi kubwa kusajili wachezaji wenye uwezo wa kushindana.Akizungumza na Salehe Jembe, Ofisa Habari wa Namungo FC, Kidamba Namlia amesema kuwa baada ya...
NYOTA wa zamani wa timu ya Barcelona, Chelsea, Inter Milan na timu ya Taifa ya Senegal, Samuel Etoo ameishangaa kuskia Tanzania inashiriki michuano ya Afcon mara baada ya kupita miaka 39.Etoo amesema kuwa wakati anacheza na Senegal alipata bahati...
MSHAMBULIAJI wa Mwadui FC, Salum Aiyee ambaye ni namba moja kwa wazawa msimu wa 2018/19 kwa kucheka na nyavu akiwa na mabao 18 amesema kuwa washambuliaji wakali ndani ya Mwadui walimzuia asiwike kutokana na ugumu wa namba.Aiyee amesema kuwa...
SIMBA imemalizana na mastaa wawili matata wa kigeni ambao mmoja ni straika na mwingine ni beki wa kushoto atakaemrithi Asante Kwasi.Majina hao pamoja na mengine yanapaswa kuwasilishwa kwa haraka Caf kabla ya Juni 30, mwaka huu tayari kwa Ligi...
KAMATI ya usajili wa Yanga bado ni siri kubwa na huenda ikatangazwa wikiendi hii lakini Spoti Xtra limenasa majina ya vigogo waliopo.Kwa mujibu wa taarifa ambazo imezipata Spoti Xtra, kamati hiyo inaundwa na mabosi wengi wanaojiweza kifedha na mipango...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS