BAADA ya Simba kuanza kazi na nahodha John Bocco kwa kumpa kandarasi ya miaka miwili sasa imeelezwa kwamba inawasomea rada wachezaji wengine wapya nane ambao mazungumzo yakijibu wanaitwa mezani.Patrick Aussems, ambaye ni Kocha Mkuu wa Simba ameacha ripoti mezani...
Kufuatia Kagera Sugar kusalia kunako Ligi kuu Bara baada ya kuifunga Pamba SC mabao 2-0 kwenye mchezo wa Play Off, mashabiki wa Simba hawajasita kutoa maoni yao.
Taarifa za uhakika zinasema kuwa kwamba mchezaji Ibrahim Ajibu hajasaini YANGA, na kwa siku tatu sasa hapokei simu za viongozi wa timu hiyo. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha kujiridhisha kimesema mpaka sasa Yanga wameshindwa kufikiana mwafaka na Ajibu ambaye...
Imeelezwa kuwa beki aliyemaliza mkataba na klabu ya KMC, Ally Ally amesema kuwa maslahi ndiyo kikwazo kilichomfanya asisaini mkataba na klabu ya Yanga.Taarifa imeeleza kuwa Ally amedai Yanga walimpa dau dogo lililopelekea mpango huo kushindikana na sasa Beki huyo...
Hizi hapa ni tetesi za wachezaji kuhama kutoka timu moja kwenda nyingine kwa hapa Tanzania na nje ya Tanzania pia.
WAKATI Yanga ikiendelea kufanya usajili wake, mabosi wa Simba nao tayari wameanza mambo kimyakimya kukisuka upya kikosi chao.Mpaka sasa Simba, inaelezwa kuwa tayari imefanikiwa kumalizana na mshambuliaji wa Yanga, Ibrahimu Ajibu ambaye amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuitumikia...
Leo klabu ya Simba Sc imetoa picha za John Bocco akisaini mkataba wa kuitumikia klabu hiyo. Hakuna ubishi mkataba huu ulisainiwa kabla ya Bocco kujiunga na kusafiri na timu kuelekea Misri kwaajili ya Afcon.Kuna uwezakano mkubwa pia wachezaji...
MASOUD Djuma kipenzi cha mashabiki anapewa nafasi ya kutua bongo akiwa kwenye dawati la ufundi wa timu ya Manispaa ya Kinodoni 'KMC' ambayo kwa sasa ni ya kimataifa ikishiriki kombe la Shirikisho kwa mara ya kwanza.Djuma alikuwa kocha msaidizi...
NYOTA wa Mwadui FC, Salum Aiyee amesema kuwa anatazama timu yenye mkwanja mrefu ili asaini kwani ofa alizonazo mkononi kwa sasa ni nyingi.Akizungumza na Salehe Jembe, Aiyee amesema kuwa amekuwa akizungumza na viongozi wengi wa timu mbalimbali ambao wanahitaji...