Home Blog Page 2814
UNAAMBIWA Uongozi wa Simba baada ya kuona watani zao wa jadi Yanga wao wameanza na kiungo fundi Papy Tshishimbi kumuongezea mkataba wao wameanza kujibu kwa kuanza na nahodha wa kikosi hicho John Bocco.Bocco ni miongoni mwa nyota wanne ambao...
NA SALEH ALLYMJADALA umekuwa mkubwa sana kuhusiana na viungo wawili, mmoja ni Ibrahim Ajibu ambaye ameichezea Yanga msimu uliopita na Jonas Mkude wa Simba.Hawa wote ni vijana wa Kitanzania ambao tayari wamejitengenezea ajira kupitia mchezo wa mpira wa miguu.Ni...
“…mwalimu wetu ni raia wa Nigeria, mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Nigeria, ameshinda vikombe vya Afcon lakini ni mchezaji wa zamani wa Barcelona na timu zingine kama Zamalek…”“…Kwa wale ambao mnaufahamu mpira hambabaishwi, ni...
SIMBA imesisitiza kwamba watafanya usajili wa aina yake msimu huu lakini wachezaji wawili watakaowasajili ni mshtuko.Kikosi hicho kilichopo chini ya muwekezaji Mohammed Dewji ‘Mo’ kimetwaa ubingwa mara mbili mfululizo na sasa kinajiandaa na Ligi ya Mabingwa Afrika inayoanza mwezi...
YANGA wameamua kwamba mastaa wanne wa kigeni watakwenda na maji na kwenye usajili wao mpya watakuwa na nondo tisa mpya za kutoka nje ya nchi.Awali Kocha Mwinyi Zahera alitaka kusajili wachezaji sita tu wa kigeni ambao ni watu wa...
MABOSI wa Yanga baada ya kusikia kwamba Azam FC wanamnyemelea kipa Metacha Mnata, wameamua kumpa mkataba kipa huyo fasta akiwa Misri.Yanga wanapambana vya kutosha kuhakikisha wanampata Metacha baada ya kushindwa kukamilisha kwa wakati dili lake akiwa kwenye kambi ya...
HUYO Makambo wenu mtamsahau! Ndivyo unaweza kusema kufuatia fowadi mpya ya Yanga kuonekana ni moto na hii ni kutokana na takwimu zake za kutupia mabao.Yanga msimu uliopita ilimtegemea zaidi Heritier Makambo raia wa DR Congo ambaye akiwa Jangwani aliwajaza...
BEKI wa Simba Juuko Murshid ambaye nafasi yake ya kubaki ndani ya Simba kwa sasa ni finyu imeelezwa kuwa amekuwa ndani ya tageti za Azam FC na Yanga ambao wote ni wa kimataifa.Habari zimeeleza kwamba tayari uongozi wa Azam...
Infinix Tanzania kufanya punguzo kubwa la bei wiki hii tarehe 11/06/2022 kwenye maduka yao ya Infinix Smart Hub Mlimani City na Infinix Smart Hub China Plaza Kariakoo.Siku hii ambayo imetambulishwa kama BIG SALE itakuwa na shughuli mbali mbali kama...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS