Home Blog Page 2817
Wasikilize mashabiki wa Yanga mkoani Mbeya wakielezea nia yao ya kuchangia kiasi cha shilingi milioni 10 kwa ajili ya kusaidia usajili ndani ya klabu hiyo.
Jeshi la Polisi mkoani Njombe kwa kushirikiana na wananchi limefanikiwa kuwaua majambazi wawili huku mmoja akifanikiwa kutoroka kwa kutumia gari ndogo aina ya Special.Akizungumza na vyombo vya habari makao makuu ya jeshi hilo mjini Njombe kamishna msaidizi wa jeshi...
Mwanadashosti Mwenye mvuto wake kuna Bongo Movies, Irene Pancras Uwoya, kwa mara ya kwanza amefunguka kosa kubwa alilolifanya kwenye maisha yake.Uwoya aliliambia gazeti alipendalo la Ijumaa kuwa, huko nyuma alikuwa akimuamini kila mtu akijua ni watu wazuri kama alivyowachukulia...
Na George MgangaMabao ya Ally Ramadhan mnamo dakika ya 51 kipindi cha pili na Japhet Makalai katika dakika ya 79 yameiwezesha Kagera Sugar kusalia kunako Ligi Kuu Bara msimu ujao.Kagera imefanikiwa kupata ushindi huo wa mabao 2-0 ikiwa ni...
Salim Aiyee mshambuliaji wa Mwadui FC leo ameibuka shujaa baada ya kufunga mabao 2 ya ushindi yaliobakiza timu yake Ligi Kuu Bara.Aiyee alianza kucheka na nyavu dakika ya 32 kabla ya Geita kusawazisha dakika ya 50 kupitia kwa Baraka...
Baada ya mechi za mtoano kumalizika,  Mwadui Fc na Kagera Sugar zimeungana na timu 18 za awali zikiwemo timu mbili zilizopanda daraja msimu 209/2020. Msimu huo sasa utawaka moto kwa timu hizi hapa chini.#TimuPFAGDPts0Alliance FC000000Azam FC000000Biashara FC000000Coastal...
Kagera Sugar 0-0 PambaUwanja wa KaitabaKipindi cha kwanzaMCHEZO kwa sasa kati ya Kagera Sugar na Pamba FC zote za kanda ya ziwa umeanza ikiwa ni kipindi cha kwanza uwanja wa Kaitaba.Ushindani ni mkubwa na mashabiki wengi wamejitokeza kuona mchezo...
MCHEZO wa Playoff kati ya Kagera Sugar na Pamba uwanja wa Kaitaba umekumbwa na sintofahamu baada ya kupita dakika 17 bila kuanza.Mechi hiyo ambayo ni marudio ilipaswa ianze muda wa saa 10:00 kwani muda ulipofika timu zote zilitia timu...
@edgarkibwana anasema soka la nguvu linaendelea ndani ya @dstvtanzania pekee!Unaenda wapi? Furahia mechi bomba kabisa za kukata na shoka ikiwemo ya Tanzania vs Algeria ndani ya kifurushi cha Poa Jumatano hii na mechi ya Wales vs Netherlands siku ya...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS