Home Blog Page 2819
NAHODHA wa timu ya Taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta amesema kuwa wanakwenda kufanya maajabu nchini Misri kwa kuwa wanajua wanapeperusha Bendera ya Taifa kwenye michuano ya Afcon nchini Misri.Stars wamekwea pipa leo kuelekea nchini Misri ambapo wanakwenda kuweka kambi...
Kipa wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Mwadini Ally, ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuendelea kuitumikia timu hiyo.  Mwadini aliyeanza kuitumikia Azam FC tokea mwaka 2011 akitokea Mafunzo ya Zanzibar, amesaini mkataba huo rasmi leo...
Meddie Kagere amechaguliwa na kamati ya Tuzo iliyo chini ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutwaa tuzo ya mchezaji bora kwa mwezi Mei.Kagere ametwaa tuzo hiyo akiwashinda wachezaji wenzake wawili aliofika nao fainali ambao ni Bigirimana Blaise mshambuliaji anayekipiga...
KOCHA Mkuu wa KMC, Ettiene Ndayiragije amebeba tuzo ya kocha bora wa Ligi Kuu Bara  kwa mwezi Mei.Ndayiragije ameongoza kikosi chake cha KMC kumaliza ligi kikiwa ndani ya nne bora baada ya kucheza michezo 38 licha ya kupanda ligi...
IMEELEZWA kuwa kikosi cha Simba kinafanya kazi ya usajili kimyakimya ambapo mpaka sasa hakijatangaza mchezaji hata mmoja ambaye amesajiliwa hata kwa mkataba wa awali.Habari zimeeleza kuwa mpaka sasa Simba wanapitia ripoti iliyoachwa mezani na kocha mkuu, Patrick Aussems ambaye...
IMEELEZWA kuwa, Marcus Rashford atakuwa mbadala ndani ya kikosi cha Barcelona iwapo watafeli kuipata saini ya Antoine Griezmann ama Neymar Jr.Barcelona kwa sasa wanaangalia namna ya kumpata mchezaji atakayekuwa mbadala wa mshambuliaji wa kimataifa wa timu ya Taifa ya Uruguay, Luis...
Kikosi cha Taida Stars kinachoondoka leo kuelekea Misri kwa ajili ya michuano ya AFCON 2019Kikosi cha Taifa Stars kinachoondoka kinaundwa na makipa; Aishi Manula (Simba SC), Metacha Mnata (Mbao FC), Suleiman Salula (Malindi SC) na Aaron Lulambo (Tanzania Prisons).Mabeki;...
Wakati Simba wakiyatosa mashindano hayo, uongozi wa Yanga umethibitisha kupokea barua ya mwaliko wa kushiriki michuano hiyo mikubwa kwa ngazi ya vilabu katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati kutoka CECAFA.Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Omar Kaya amesema bado...
TIMU ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' inatarajiwa kuanza safari leo kuelekea nchini Misri ambako itaweka kambi kwa ajili ya michuano ya Afcon ambayo inatarajiwa kuanza Juni 21.Wachezaji saba wameachwa na kocha wa kikosi hicho Emmanuel Ammunike na ataondka...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS