IMEKUWA kawaida kwenye mitandao ya kijamii, hasa kurasa za Instagram ama kwenye makundi ya WhatsApp kusambaza kipande cha wimbo wa Mkono wa Bwana pindi mambo yanapokuwa tofauti.Kwa mfano kwa upande wa michezo siku ambayo timu iliyokuwa haijapewa nafasi ya...
LEO Jumapili uwanja wa Taifa kutakuwa na mchezo wa hisani kwa timu ya Ally Kiba na Mbwana Samatta inayokwenda kwa jina la Nifuate ambao ni wa hisani lengo ni kurejesha wanachokipata kwa wenye mahitaji.Hiki hapa ni kikosi cha Ali...
Mbwana Samatta nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania,'Taifa Stars' amesema kuwa hakutarajia kupewa tuzo za heshima na uongozi wa Global Group jambo ambalo limemshangaza alipotembelea ofisi za Global Group jana.Samatta ambaye anayekipiga KRC Genk, leo atakuwa uwanja wa...
Imeelezwa kuwa Mshambuliaji kimataifa kutoka Zambia na klabu ya Zesco United, Kalengo Maybin mwenye umri wa miaka 20, amesaini mkataba wa miaka miwili ndani ya klabu ya Yanga.Taarifa zinasema tayari beki huyo na klabu wameshamalizana tayari kwa maandalizi ya...
Kiungo aliyerejea kwenye fomu yake na kuwa tegemo ndani ya kikosi cha Simba, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, amezungumzia ofa alizozipata mpaka sasa nje ya timu yake.
Meneja wa straika wa Simba Meddie Kagere, Patrick Gakumba akizungumzia dili za mchezaji wake kwenda kucheza soka nje ya nchi.
Straika wa Simba, Meddie Kagere akifunguka juu ya hatma yake na wekundu wa Msimbazi baada ya msimu huu kumalizika.