Baada ya jana watu kujikwapulia mapene kwenye mechi ya Kombe la Dunia la vilabu, leo hii tena Meridianbet wamekuwekea promosheni kama ile ya jana kwenye mechi ya Real Madrid vs Al Hilal ukibashiri kwa GG&3+. Ingia kwenye akaunti yako...
Ratiba ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) kwa msimu wa 2025/26 imetangazwa rasmi leo, Juni 18 saa 9:00 asubuhi kwa saa za Uingereza, ikileta matarajio mapya kwa mashabiki wa soka duniani na hasa kwa wale wabashiri wanaotumia Meridianbet, kampuni...
JONATHAN Sowah mshambuliaji wa Singida Black Stars anatajwa kuwa kwenye mpango wa kutakiwa na Yanga SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi.
Sowah alimpa tabu kipa namba moja wa Yanga SC, Djigui Diarra kwenye mchezo wa ligi walipokutana Uwanja wa...
Meridianbet imeamua kukuletea furaha kwa zawadi kubwa za simu aina ya Samsung A25 kwa wapenzi wa michezo ya kasino ya mtandaoni, kupitia mchezo wa Super Heli, moja kati ya mchezo unaokimbiza sana mjini huku sifa yake kubwa ikiwa ni...
Ikiwa ni mshirika wa Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), Meridianbet kwa mara nyingine tena imeadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wachangia Damu kwa kuendesha kampeni ya kimataifa ya wafanyakazi kuchangia damu, kampeni ambayo sasa imekuwa sehemu ya utamaduni wa kampuni...
MOUSA Camara kipa namba moja wa Simba SC anatajwa kuwa kwenye hesabu za kukutana na Thank You ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu,Fadlu Davids.
Camara ni chaguo la kwanza ndani ya Simba SC ambayo ipo kwenye maandalizi kuelekea...
WAKATI tetesi zikiendelea kumuhusisha Kocha Mkuu wa Al Hilal ya Sudan, Florent Ibenge, na klabu ya Azam FC, uongozi wa timu hiyo umeweka wazi kuwa kocha huyo ni mmoja wa walimu bora barani Afrika ambaye timu yoyote ingejiweka kwenye...
IMEELEZWA kuwa uongozi wa klabu ya Simba upo katika mazungumzo ya kumuongeza mkataba beki wao, Mohammed Hussein ‘Zimbwe Jr’ kusalia ndani ya klabu hiyo huku kiungo Fabrice Ngoma akijadiliwa kusalia au kutemwa.
Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Simba zimeeleza...
Je unajuwa kuwa ukijisajili na Meridianbet kwa mara ya 1, 2, na 3 unaweza ukajipatia bonasi kali ya ubashiri kutoka na dau ambalo unakuwa umeweka? Ingia Meridianbet ujioneee masharti ya kutimiza kupata bonasi hii.
Fursa ndio hii hapa na unaweza...
Meridianbet imekuja na ofa bab kubwa kwa wachezaji na wapenzi wa mchezo wa kasino za mtandaoni. Sasa unaweza kujishindia simu mpya kabisa ya Samsung A25 kwa kushiriki mchezo wa kusisimua wa Super Heli. Mchezo huu umevutia wachezaji wengi kwa...