Home Blog Page 7
Meridianbet kwa kushirikiana na Expanse Studio wamezindua ofa maalum kwa wachezaji wa kasino mtandaoni kupitia mchezo wa kasino mtandaoni wa Zombie Apocalypse. Kupitia ofa hii, wateja wanaopenda michezo ya kasino wanapata nafasi ya kipekee ambapo wakicheza mizunguko 100 leo, wanapata...
WAKATI Yanga ikijiandaa kumleta nchini beki wa kulia wa TP Mazembe na timu ya taifa ya Mauritanian, Ibrahima Keita, dili hilo limeanza kuingia gundu baada ya matajiri wa Tunisia kuingilia kati. Nyota huyo anayemaliza mkataba na TP Mazembe Juni 30,...
VIKAO vizito vinaendelea ndani ya Simba kupitia tathimini za mchezaji mmoja mmoja kuona mchango wake kama utaisaidia timu hiyo msimu ujao 2025/26. Kuna kila mabadiliko makubwa yananukia kikosini Msimbazi huku majina kadhaa yakitajwa mpaka sasa. Tayari yapo majina ya mastaa wa...
Unafikiria ni sloti gani au mchezo gani ulipa pesa nyingi kwa mara moja? Usihangaike cheza kasino ya mtandaoni kutimiza matakwa yako. Kuna huu mchezo unaitwa Mini Power Roulette ni tofauti na Roulette nyingine huu una namba 13 zinazotoa ushindi. Ukiachilia...
Meridianbet wamekuja na fursa ya kipekee kwa wapenzi wa michezo ya mtandaoni ambayo ni promosheni ya Jisajili, Weka Pesa, Cheza na Ushinde" ambapo hapa mchezaji anatakiwa abashiri mechi zozote na michezo ya Kasino. Promosheni hii imeanza Juni 01 na kikomo...
Kila mtu na bahati yake Meridianbet hakuna masuala ya nyota yako imefifia au oga maji ya bahari kuondoa nuksi, iko hivi kucheza na kushinda kasino ya mtandaoni ni rahisi, kuwa moja ya mabingwa na Wafalme wa Meridianbet kila unapocheza...
KOCHA wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini, Nasredine Nabi ameondoka nchini na kumtimkia Ulaya kwa mapumziko, lakini hapa Tanzania alimuacha skauti wao mmoja maalum kwa ajili ya kuwaangalia viungo wawili wa Simba. Nabi alipokuwa nchini kwa mambo yake binafsi alishuhudia...
YANGA inaendelea kupasua kichwa juu ya kocha gani imchukue kwa ajili ya kulijenga upya benchi la ufundi la msimu ujao, na sasa ni kwamba kuna uwezekano mkubwa ikapoteza chaguo jingine la tatu kwenye mawindo hayo. Hesabu za Yanga zilikuwa kwa...
KATIKA kile kinachoonekana kuwa mwanzo wa ukurasa mpya kwa klabu ya Yanga, uongozi wa timu hiyo umeweka wazi mikakati kabambe ya kuhakikisha msimu ujao wanakuwa na kikosi imara zaidi kwa ajili ya mashindano yote yaliyo mbele yao. Mjumbe wa Yanga,...
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids, amefunguka hali ya kikosi chake, akisema kwa sasa akili yake yote inaelekezwa kwenye pambano la Kariakoo Derby dhidi ya Yanga SC, mechi inayoweza kuwa na taswira ya bingwa wa Ligi Kuu Tanzania...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS