PAMOJA NA KUPASUKA VICHWA JUZI…KIBU DENIS NA KIBWANA SHOMARI…’WAKIWASHA TENA’ TAIFA STARS…
Timu ya Taifa “Taifa Stars” Jana Jumapili (Mei 29) imeanza mazoezi rasmi ya kujandaa na michezo ya kufuzu AFCON 2023 dhidi ya Niger na...
BAADA TA KUITUNGUA SIMBA KWA GOLI LA ‘KIULAYA ULAYA’….FEI TOTO AFUNGUKA HALI ILIVYOKUWA UWANJANI…
Mfungaji wa Bao la ushindi la Young Africans kwenye mchezo wa Nusu Fainali Kombe la Shirikisho Tanzania Bara dhidi ya Simba SC Feisal Salum...
PABLO AKALIA KUTI KAVU…SIMBA WAANZA MAZUNGUNZO NA KOCHA WA RAJA CASABLANCA…MORRISON AAGA RASMI…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Championi leo Jumatatu.
BAADA YA SIMBA KUPUKUTISHWA NA YANGA MSIMU HUU…AHMED ALLY AVUNJA UKIMYA…AMWAGA UKWELI WOTE HADHARANI…
Meneja wa mawasiliano Simb SC, Ahmed Ally amesema kuwa watayafanyia kazi mapungufu yote yaliyojitokeza msimu huu ikiwemo kukiboresha kikosi chao.”Hatuna namna tujipange kwaajili ya...
WAZAZI WALIOMPA MTOTO WAO MCHANGA JINA LA MAYELE WAFUNGUKA…”SIWEZI KUMBADILISHA JINA HATA IWEJE”…
BAADA ya kuteka hisia za wapenda soka nchini kutokana na kumuita mwanae jina la nyota wa Yanga, Fiston Mayele, shabiki wa Yanga, Victor Maguta...
RASMI…SADIO MANE ATANGAZA ‘KUSEPA’ LIVERPOOL….BAYERN MUNICH WATAJWA KUMWANIA…
Mshambuliaji wa Liverpool Sadio Mane ameamua kuondoka klabuni hapo majira haya ya kiangazi saqbabu kubwa ikitajwqa kuwa anataka kutafuta changamoto mpya.Mane ameitumikia Liverpool kwa...
NABI KIBOKO…AANIKA ALIVYOIPASUA SIMBA JUZI…MO DEWJI AANZA KUIFUFUA SIMBA..ASHUSHA KIFAA CHA LIGI YA ITALIA…
Pitia ukurasa wa mbele wa gazeti la MwanaSpoti la leo Jumatatu.
BAADA YA KUPATA USHINDI JANA….MANARA ATUPA KOMBORA SIMBA…”KUNIROGA HAMNIWEZI..KUNIPIGA NDIO KABISAA”…
Kutoka kwa Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara baada ya timu yake kuichapa Simba kwa bao 1-0 na kuivua ubingwa wa Kombe la...
BAADA YA KUSIKIA SIMBA WANAMTAKA…’STRAIKA’ LA KAZI LAKATAA KUSAINI MKATABA MPYA…
Habari njema kwa mashabiki wa Simba ni kuwa, Mshambuliaji wa Vipers ya Uganda, Cesar Manzoki, amegoma kusaini mkataba aliopatiwa na timu yake, huku Simba...
HIVI NDIVYO JINSI FAINALI YA JANA YA LIGI YA MABINGWA ULAYA ILIVYOWACHA LIVERPOOL NA...
Msimu mzuri wa Liverpool uliwahi kutoa matarajio ya kuvutia matumaini ya kushinda mataji manne na kuisha katikati ya machafuko ya Paris na mchanganyiko wa...