Trending Stories
View All
YANGA NA SIMBA WAINGIA VITANI KUSAKA SAINI YA BEKI HUYU MZAWA
EDWARD Manyama, beki wa kushoto wa Klabu ya Namungo inaelezwa kuwa amewekwa Kwenye rada za Simba na Yanga. Yanga walianza…
SIMBA: TUNATAKA KUFIKA MBALI KIMATAIFA
BEKI wa kati wa Simba, Pascal Wawa amesema kuwa hesabu kubwa za timu hiyo ni kuweza kufika mbali kimataifa…
JEMBE LA KAZI TUSIYENGE LINAKUJA YANGA
IMEELEZWA kuwa Yanga ipo kwenye mchakato wa kumshusha Jacques Tuyisenge na kumtoa kwa mkopo staa wao kipenzi, Carlos Carlinhos. …
RUVU SHOOTING YAWEKA REKODI YA KIBABE
RUVU Shooting kwa msimu wa 2020/21 imeweka rekodi ya kuwa timu pekee iliyo ndani ya tano bora ikiwa chini…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatatu
LEICESTER CITY YASEPA NA POINTI TATU MBELE YA SPURS
LEICESTER City imesepa jumla na pointi tatu zote mbele ya Tottenham Hotspur kwa ushindi wa mabao 2-0. Ikiwa ugenini,…
DAN JAMES AINGIA ANGA ZA BRIGHTON
MABOSI wa Klabu ya Brighton wamevutiwa na uwezo wa nyota wa Manchester United, Dan James jambo ambalo limewafanya wamuweke kwenye…
MTAMBO MPYA WA MABAO YANGA WAAHIDI UBINGWA
INGIZO jipya ndani ya Klabu ya Yanga Mrundi, Saido Ntibazonkiza ‘Saido’ amefunguka kuwa anaona kabisa msimu huu atakuwa sehemu ya kikosi…
BENCHI LA UFUNDI SIMBA LAFANYA ZIARA UWANJA WATAKAOSAKA USHINDI JUMATANO
BENCHI la ufundi la Klabu ya Simba, leo Desemba 20 wamekagua Uwanja wa Taifa wa Zimbabwe ambao utatumika Septemba…
NYOTA WATATU WASEPA NDANI YA AZAM FC
UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa nyota wake Alain Thiery Akono Akono amepata dili la kwenda Malysia baada ya mabosi…
JKT TANZANIA YASIMAMISHA USAJILI WA KMC
UONGOZI wa KMC umesema kuwa hesabu zao kwa sasa ni kwenye mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT…
RATIBA YA YANGA KUIVAA IHEFU YAPANGULIWA
RATIBA ya mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Ihefu FC dhidi ya Yanga uliotarajiwa kuchezwa Desemba 26,imepanguliwa na…
BAADA YA KUTEMBEZA KICHAPO CHA MABAO 7-0, LIVERPOOL NAFASI YA KWANZA MPAKA CHRISTMAS
USHINDI walioupata Liverpool wa mabao 7-0 dhidi ya Crystal Palace unawafanya wawe na uhakika wa kukaa nafasi ya kwanza mpaka…
FC PLATINUM YAPANGA MIKAKATI KUWAONDOSHA SIMBA
WAKATI Simba ikiwa imeweka makazi nchini Zimbabwe kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FC Platinum…
ISHU YA KIPA MKENYA WA YANGA ‘KUPIGWA PANGA’ IMEKAA NAMNA HII
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mrundi, Cedric Kaze, ametaja sababu za kipa wake Mkenya Farouk Shikalo kuwekwa benchi na Metacha Mnata…
MIKAKATI YA AZAM FC KWENYE USAJILI YAWEKWA WAZI
KOCHA Mkuu wa Azam FC, George Lwandamina amesema kuwa katika kuhakikisha mipango ya kutwaa ubingwa kwa timu hiyo inatimia, atakaa…