Trending Stories
View All
SIMBA WAANZA KUIVUTIA KASI FC PLATINUM
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck leo Desemba 19 kimeanza mazoezi kwa ajili ya kujiandaa na mchezo…
YANGA WAENDELEZA REKODI YAO, WAPINDUA MEZA KIBABE MBELE YA DODOMA JIJI
YANGA imeendelea ubabe wake ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kucheza jumla ya mechi 16 bila kupoteza kwa msimu wa…
VPL:YANGA 1-1 DODOMA JIJI
Zinaongezwa dakika 2 Dakika 45 zimekamilika Dakika ya 36, Yacouba anachezewa faulo Dakika ya 35 Yanga wanapeleka mashambulizi kwa Dodoma…
JESHI LA DODOMA FC LEO DHIDI YA YANGA,SHEIKH AMRI ABEID
KIKOSI cha Dodoma Jiji FC kitakachoanza leo Desemba 19 dhidi ya Yanga, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid
KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA DODOMA JIJI FC
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Desemba 19 dhidi ya Dodoma Jiji FC
SEVEN AULA SONY MUSIC ENTERTAINMENT AFRICA
KAMPUNI ya Sony Music Entertainment Africa, imemteua Christine Mosha, anayejulikana zaidi kama ‘Seven’, kuongoza kitengo cha Masoko na Maendeleo ya…
SABABU YA BERNARD MORRISON KUACHWA BONGO IPO HIVI
NYOTA wa Klabu ya Simba, Bernard Morrison amesema kuwa kwa sasa bado hajajua nini kinachomsumbua kwa kuwa hajapewa majibu…
SAIDO NTIBANZOKIZA KUANZA NA DODOMA JIJI
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa umekamilisha kila kitu kuhusu usajili wa nyota wao Saido Ntobanzokiza, raia wa Burundi. Kiungo…
DORTUMUND YAPIGWA TENA,MOUKOKO AWEKA REKODI YAKE
MSHAMBULIAJI kinda wa Klabu ya Borussia Dortmund, Youssoufa Muokoko usiku wa kuamkia leo amefunga bao la kwanza ndani ya Ligi…
RATIBA YA LIGI KUU BARA BONGO
LEO Desemba 19 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kwa timu nne kushuka uwanjani kusaka pointi tatu muhimu. Gwambina FC…
KIUNGO WA YANGA KUIBUKIA POLISI TANZANIA
KIUNGO mkabaji wa Klabu ya Yanga Abdulaziz Makame yupo kwenye mpango wa kutua kwa mkopo ndani ya Klabu ya…
NYOTA WA SIMBA AINGIA ANGA ZA IHEFU NA NAMUNGO
KIUNGO mshambuliaji ndani ya Klabu ya Simba, Miraj Athuman huenda akaibukia ndani ya Namungo FC kwenye usajili wa dirisha dogo.…
NIYONZIMA:TUTACHUKUA UBINGWA WA LIGI KUU BARA
BAADA ya kusaini dili la mwaka mmoja kiungo fundi wa kuchezea mpira, Haruna Niyonzima amesema kuwa anaamini timu hiyo…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi
MANCHESTER UNITED WAPEWA UBINGWA WA LIGI KUU ENGLAND
PAUL Scholes na Michael Owen wanaamini kwamba Manchester United wanaweza kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England baada ya kuingia ndani…
NYONI: SIMBA ITAIFUNGA FC PLATINUM
KIRAKA wa Klabu ya Simba, Erasto Nyoni amefunguka kuwa anaamini timu hiyo itaibuka na ushindi kwenye mchezo wao wa ugenini…