Trending Stories
View All
PICHA YA PAMOJA WACHEZAJI WA YANGA WAKIWA WAMETUPIA SUTI
MUONEKANO wa wachezaji wa Yanga wakiwa wametupia suti inaelezwa kuwa kesho Kwenye kilele cha wiki ya Mwananchi watatupia namna…
ARSENAL MABINGWA WA NGAO YA JAMII ULAYA,WAINYOOSHA LIVERPOOL
Arsenal leo Agosti 29 imetwaa taji la Ngao ya Jamii kwa kushinda kwa mikwaju 5-4 mbele ya Liverpool baada…
KILICHOWAFANYA YANGA WAKAMPA DILI MSERBIA HIKI HAPA
ZLATKO Krmpotić kwa sasa ndiye Kocha Mkuu wa Yanga ametua leo mapema akitokea nchini Serbia kuchukua nafasi ya Mbelgiji, Luc…
MINZIRO KOCHA MPYA GEITA FC
FELIX Minziro maarufu kama Baba Isaya, leo Agosti 29 ametambulishwa kuwa Kocha Mkuu wa Klabu ya Geita Gold. Amesaini dili…
JKT TANZANIA IPO KAMILI GADO KWA MSIMU WA 2020/21
UONGOZI wa JKT Tanzania umesema kuwa upo tayari kwa ajili ya msimu wa 2020/21 kwa kuwa kikosi kipo kamili…
SIMBA:TUNA BWALYA,MUGARU,MORISSON, TUTAWAKERA KWELI YANGA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa utawakera wapinzani wao wote ndani ya msimu wa 2020/21 kwa kuwa ina kikosi imara…
TANZIA:MKE WA MO BANKA ATANGULIA MBELE YA HAKI
Mohamed Banka, kiungo wa zamani wa Klabu ya Yanga na Simba amepatwa na msiba kwa kuondokewa na mkewe, Bi…
NGAO YA JAMII LEO ARSENAL V LIVERPOOL
Ligi Kuu ya Uingereza EPL msimu mpya wa 2020/21 unafunguliwa kwa mchezo wa Ngao ya Jamii ambapo unawakutanisha Mabingwa wa EPL dhidi ya Mshindi wa…
STAA WA ‘WAKADA FOREVER’ AFARIKI
Muigizaji wa filamu ya Black Panther, ya mwaka 2018, Chadwick Boseman ametangulia mbele za haki kwa tatizo la Kansa. Nyota…
MSHAMBULIAJI MPYA MBIKINAFASO AWASOTESHA YANGA UWANJA WA NDEGE
MAMIA ya mashabiki wa Yanga, Agosti 27 walijikuta wakishinda mchana kutwa kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini…
MESSI AINGIA ANGA ZA JUVENTUS
IMERIPOTIWA kuwa Klabu ya Juventus ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya nyota wa Klabu ya Barcelona, Lionel Messi ili…
KOCHA YANGA ATUA DAR KUMALIZANA NA MABOSI WAKE
ZLATKO Krmpotic Kocha Mkuu wa Yanga amewasili leo Agosti 29 Dar es Salaam kwa ajili ya kuanza kukinoa kikosi…
YANGA WASEMA WALIMTAKA CHAMA, SIMBA YAPANIA KUWAKERA,NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi
UTATA WA MKATABA WA MORRISON FIFA YAINGILIA KATI
SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa) ni kama limemaliza utata wa usajili wa mchezaji Bernard Morrison aliyetua Simba huku akiwa…
NYOTA HAWA WALIZIPA TABU SIMBA NA YANGA, SASA WANAPETA KWENYE TIMU MPYA
KILA kitu kinatokea kwa sababu ndivyo ambavyo imekuwa kwa wachezaji wengi wa Bongo kupata madili ya kusaini kwenye timu mpya pale…
MASHINE HII YA KIMATAIFA YA KAZI KUFUNGA USAJILI YANGA
YANGA ipo katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Petro Atletico De Luanda ya Angola raia wa…