Trending Stories
View All
KMC YAMALIZANA NA DONDOLA WA COASTAL UNION
KMC FC imekamilisha usajili wa golikipa kutoka Coastal Union, Masoud Abdallah (Dondola). Kwa mkataba wa mwaka mmoja. Nyota huyo…
KOCHA MRUNDI AANZA KAZI RASMI YANGA
ALIYEWAHI kuwa kipa wa Azam FC, Vladimir Niyonkuru raia wa Burundi aliwasili rasmi nchini Tanzania, juzi mchana tayari kwa kuanza…
WAZIRI ZUNGU MGENI RASMI SWAHILI CUP
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, Mussa Azzan Zungu anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi…
WAJUMBE WAMPOTEZA DROGBA NAFASI YA URAIS FIF
KAMATI ya uchaguzi ya shirikisho la soka Ivory Coast (FIF) imemuengua mchezaji wa zamani wa Chelsea na timu ya taifa…
MTIBWA SUGAR WAFANYA MABORESHO BENCHI LA UFUNDI
UONGOZI wa Mtibwa Sugar leo Agosti 28 umetangaza benchi lake la ufundi kwa ajili ya msimu wa 2020/2021 unaotarajiwa kuanza Septemba…
SIMBA WAICHOKONOA YANGA KISA ISHU YA MWANANCHI, DIAMOND ATAJWA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa watani zao wa jadi Yanga hawataweza kuvunja rekodi waliyoiweka wao kwenye kilele cha Simba…
YANGA WAFUNGUKIA HATMA YA JUMA ABDUL NA YONDANI
INJINIA Hersi Said, Mkurugenzi wa Masuala ya Uwekezaji ndani ya Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa Klabu ya Yanga…
POGBA AKUTWA NA VIRUSI VYA CORONA
PAUL Pogba, kiungo wa Klabu ya Manchester United imeripotiwa kuwa amekutwa na Virusi vya Corona muda mfupi kabla ya msimu…
KOCHAWA TIMU YA TAIFA AWASHANGAA WANAOMBEZA ONYANGO
KOCHA wa zamani wa Kenya, Harambe Stars, Adel Amrouche raia wa Ubelgiji amesema Onyango ni kati ya mabeki bora aliowahi…
BREAKING: KOCHA MPYA YANGA ZLATICO, KUTUA KESHO
KLABU ya Yanga imemtambulisha Zlatico Krmpotick kuwa Kocha Mkuu wa Yanga akibeba mikoba ya Luc Eymael aliyekuwa akikinoa kikosi…
WINGA SIMBA AIBUKIA POLISI TANZANIA
RASHID Juma, winga wa Simba amejiunga na Klabu ya Polisi Tanzania kwa mkopo kwa wa mwaka mmoja. Nyota huyo…
YANGA YAWAITA MASHABIKI UWANJA WA MKAPA
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umewaomba mashabiki wa timu hiyo kujitokeza kwa wingi Oktoba 30, Uwanja wa Mkapa kwenye kikele…
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
MTUPIAJI WA YANGA PRINCESS ASAINI SIMBA QUEENS
SHELDA Boniphace mshambuliaji wa Yanga Princess msimu wa 2019/21 ameibukia ndani ya watani zao wa jadi Simba Quuens. Akiwa…
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Ijumaa
MASHINE MPYA ZA SIMBA ZAMPA WAKATI MGUMU SVEN
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema ana wakati mgumu wa kuwapanga wachezaji wake katika nafasi ya ushambuliaji kutokana…