Trending Stories
View All
MANULA AWABURUZA MGORE NA BAROLA, ASEPA NA TUZO YAKE
MLINDA mlango namba moja wa Simba, Aishi Manula amechaguliwa kuwa Golikipa Bora wa Msimu wa 2019/20.Tuzo imepokelewa na Mkurugenzi wa…
SVEN KOCHA MKUU WA SIMBA ATWAA TUZO YA KOCHA BORA WA VPL
KOCHA Msaidizi wa Simba Suleiman Matola, leo Agosti 7 amepokea Tuzo ya Kocha Bora wa mwaka kwa niaba ya…
KAGERE ABEBA TUZO YA MFUNGAJI BORA VPL
MENEJA wa Simba, Patrick Rweyemamu leo Agosti 7 amepokea Tuzo ya Mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa niaba…
HAWA HAPA WAMETWAA TUZO ZA VPL LEO, MLIMAN CITY
WAAMUZI Abdallah Mwinyimkuu, Ferdinand Chacha,Mohamed Mkono, Athuman Lazi wakiwa na Tuzo za Seti Bora ya Waamuzi waliyoshinda kwa kuchezesha…
MORRISON WA YANGA AICHUNIA TEAMKIBA NA KUIBUKIA TEAMSAMATTA
BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga leo amezua jambo lake kwenye mazoezi ya maandalizi ya mchezo wa TeamSamatta na…
HIZI HAPA PICHA ZA BAADHI YA WASHIRIKI WA TUZO ZA VPL 2019/20
LEO Agosti 7 Ukumbi wa Mlimani City ni kilele cha usiku wa Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom kwa msimu wa …
RASMI YANGA WAACHANA NA WAKONGWE WAWILI, YONDANI NA JUMA ABDUL
LEO Agosti 7, uongozi wa Klabu ya Yanga umetangaza rasmi kuachana na nyota wao wawili, Kelvin Yondani na Juma Abdul…
DODOMA FC YASAJILI WAPYA WATATU
KIUNGO Cleophace Mkandala “iniesta” aliyekuwa anakipiga Tanzania Prisons amekamilisha idadi ya wachezaji watatu wapya ambao wamejiunga na Dodoma Jiji FC…
ISHU YA UWANJA ISIACHWE IPITE HIVIHIVI WAKATI UJAO, MABORESHSHO YAENDELEE
TUMESHUHUDIA fainali ya Kombe la Shirikisho ikikamilika kwa bingwa kupatikana kwenye mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa pale Uwanja wa Nelson…
WAKATI HUU WA USAJILI UMAKINI UNAHITAJIKA KWA TIMU NA WACHEZAJI
KAZI imeanza sasa kwenye upande wa usajili ndani ya ardhi ya Bongo ambayo huwa haishiwi matukio hasa kinapofika kipindi…
MBWANA SAMATTA AMPIGA MKWARA KIBA KUELEKEA NIFUATE
MBWANA Samatta, nyota wa Tanzania anayekipiga Klabu ya Aston Villa ya Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) amemtaka msanii, Alikiba ‘asimfokee‘ na…
ORODHA YA MAJINA YA WANAOWANIA TUZO ZA VPL,2019/20
SHEREHE za tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom zinatarajiwa kufanyika leo, Agosti 7,2020 katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar…
NORWICH YAIKAZIA LIVERPOOL KWA LEWIS
MABINGWA wa Ligi Kuu England, Liverpool wamekutana na kizingiti kutoka Norwich City kumpata beki Jamal Lewis ili aibukie ndani ya…
BERNARD MORRISON WA YANGA ATAJAWA KUIBUKIA SIMBA
INAELEZWA kuwa nyota wa Yanga, Bernard Morrison amemalizana na uongozi wa Smba hivyo anaweza kutangazwa muda wwote kuanzia leo Agosti…
TSHISHIMBI AOMBA APEWE MKATABA WA MWAKA MMOJA YANGA
KIUNGO mkabaji raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi, amekubali yaishe na kukubali kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia Yanga.Hiyo ikiwa ni…
SHIBOUB WA SIMBA AKUBALI KUTUA YANGA, ATAJA MASHARTI
KIUNGO mchezeshaji wa Simba raia wa Sudan, Sharraf Eldin Shiboub inaelezwa kuwa amepewa ofa na wadhamini wa Yanga, GSM kwa…