Trending Stories
View All
DAVID KISSU AJIFUNGA MIAKA MIWILI AZAM FC
DAVID Mapigano Kissu, leo Agosti 6 ametambulishwa rasmi kuwa mali ya Azam FC baada ya kusaini kandarasi ya miaka miwili…
KOSI LAMILI YA YANGA KWA SASA LIPO NAMNA HIO,MASHINE MPYA TANO
KIKOSI CHA YANGA MPAKA SASA MAKIPA1. Farouk Shikalo2. Metacha Mnata3. Ramadhan Kabwili BEKI WA KULIA4. Paul Godfrey BEKI WA KUSHOTO5.…
SAINI YA SUREBOY YANGA BADO NI PASUA KICHWA
UONGOZI wa Azam FC, umesema kuwa nyota wao Salum Abubakar maarufu kama Sureboy awali hakuwa tayari kuibukia ndani ya Yanga…
PACHA WA MWAMNYETO, AME, PICHA ZIMA KUIBUKIA SIMBA LIMECHEZWA HIVI
IBRAHIM Ame aliyekuwa pacha wa Bakari Mwamnyeto ndani ya Coastal Union inayonolewa na Juma Mgunda inaelezwa kuwa amemalizana na mabosi…
AZAM FC YAMALIZANA NA KIPA ALIYEKUWA AKIKIPIGA KENYA
DAVID Kissu kipa aliyekuwa akikipiga Gor Mahia ya Kenya leo amefuzu vipimo vya afya kwa ajili ya kumalizana na mabosi…
BREAKING: NINJA ASAINI MIAKA MIWILI YANGA
BEKI wa kati Abdallah Haji Shaibu ‘Ninja’ leo Agosti 6 amesaini dili la miaka miwili kuitumikia Klabu ya Yanga. Ninja…
NYOTA MPYA WA YANGA, WAZIR JUNIOR APEWA TUZO YA MCHEZAJI BORA MWEZI JULAI
MSHAMBULIAJI wa Mbao FC ya Mwanza, Waziri Junior amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Julai wa Ligi Kuu ya Vodacom…
BREAKING:MINZIRO AWAGARAGAZA CIOABA NA AMRI SAID,ASEPA NA TUZO
KOCHA wa Mbao FC ya Mwanza, Fred Felix Minziro amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Julai wa Ligi Kuu ya…
SABABU YA YANGA KUACHANA NA WAKONGWE YONDANI NA ABDUL HII HAPA
IMEELEZWA kuwa sababu kubwa ya uongozi wa Yanga kuachana jumla na mabeki wao wawili wakongwe Kelvin Yondani na Juma Abdul…
SIMBA:CHAMA REKODI ZINAMBEBA ANAWEZA KUBEBA TUZO ZOTE BONGO
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kiungo mshambuliaji Clatous Chama anaweza kusepa na tuzo zote ndani ya msimu wa 2019/20 kwa…
SHIBOUB APEWA OFA YANGA AKUBALI KUSAINI,STRAIKA MKONGO ASEMA ANAKUJA SIMBA, NDANI YA SPOTI XTRA ALHAMISI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
2019/20 JUMLA YA MECHI 380 ZIMECHEZWA NA KUKUSANYA MABAO 767
MSIMU wa 2019-20 jumla ya mabao 767 yamefungwa ndani ya uwanja kwenye mechi za Ligi Kuu Bara .Zimechezwa jumla ya…
MAKOCHA 60 WATUMA CV KUITAKA MIKOBA YA EYMAEL YANGA
IMEELEZWA kuwa jumla ya makocha 60 wamewasilisha CV za maombi ya kuifundisha Yanga katika msimu ujao wa 2020/21 ili kubeba…
YANGA WAMEAMUA KWELI, WAMFUNGIA HOTELINI BEKI WA NKANA ILI KUMALIZANA NAYE
KAMPUNI ya GSM iliyochukua jukumu la usajili Yanga kwenye msimu ujao, imemuwekea kitita cha Sh 50Mil, beki wa pembeni wa…
NAMUNGO FC NAO WAMALIZANA NA JEMBE LA KAZI KUTOKA LIPULI ASAINI MIAKA MIWILI
FREDY Tangalo kiungo wa Lipuli, leo amesaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Klabu ya Namungo FC ya Lindi.Kiungo huyo…
YANGA WAACHANA NA JUMA ABDUL
JUMA Abdul, leo Agosti 5 ameachana na timu yake ya Yanga baada ya kushindwa kufikia makubaliano kwenye suala la mkataba…