MANCHESTER CITY KUMCHUKUA RONALDO MAZIMA

0
MANCHESTER City wanapewa nafasi ya kuipata saini ya nyota wa Juventus, Cristiano Ronaldo kwa kuwa mabosi wake wa sasa wanahitaji kumuuza kutokana na kile...

BAADA YA MANARA KUHAMIA YANGA…KADUGUDA AIBUKA NA HILI..AMTAJA MO DEWJI

0
Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Simba Mwina Kaduguda amesema klabu hiyo haijashtushwa kwa lolote kufuatia kuondoka kwa aliyekuwa...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA

0
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa 

SIMBA YATOSHANA NGUVU TENA MOROCCO, KIKOSI KUREJEA JUMA HILI TANZANI

0
KATIKA mchezo wa kirafiki ambao Simba wamecheza leo dhidi ya Olympique Club wametoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1.Huu unakuwa ni mchezo wa pili kwa...

BAADA YA KUAMBIWA YEYE NI TAJIRI WA INSTAGRAM..MO DEWJI AMJIBU MANARA KWA STAILI HII

0
Wakati Mwanafamilia Mpya wa Young Africans Haji Manara akipigilia Misumari kwa kusema yanayoihusu klabu ya Simba SC, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu...

SAMUEL ETO’O NEMBO YA AFRIKA ILIYOSUMBUA ULIMWENGU WA MICHEZO

0
ILIBIDI iundwe tume maalamu na timu pinzani zilipokuwa zikitambua kwamba zinakwenda kupambana na timu ambayo anacheza Samuel Eto'o, mchezaji bora wa muda wote, raia...

AL AHLY WAMTAMBULISHA KIBABE MIQUISSONE..KUMBE SIMBA WAMELIPWA MPUNGA HUU..

0
Hatimaye Mabingwa wa Soka Barani Afrika Al Ahly wamemtambulisha rasmi kiungo mshambuliaji kutoka nchini Msumbiji Jose Luis Miquissone, akitokea kwa Mabingwa wa Soka Tanzania...

BREAKING: RASMI LUIS MIQUISSONE ATAMBULISHWA AL AHLY YA MISRI

0
BREAKING:Rasmi Klabu ya Al Ahly leo Agosti 26 imemtambulisha Luis Miquissone kiungo mshambuliaji kuwa mali yao kuanzia msimu wa 2021/22.Nyota huyo aliyekuwa anakipiga ndani...

KUHUSU ILE ISHU YA KUSAJILI WACHEZAJI 12 WA KIMATAIFA ..SERIKALI WAIBUKA NA TAMKO HILI

0
LICHA ya klabu kubwa nchini Simba, Yanga na Azam FC kupokea kwa mikono miwili ruksa ya kusajili wachezaji 12 wa kigeni kuanzia msimu huu,...

BAADA YA KELELE ZA MASHABIKI…VIONGOZI YANGA WAAFIKINA HILI KUHUSU MANARA

0
SIKU moja baada ya aliyekuwa Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Simba, Haji Manara, kutangaza kujiunga na klabu hiyo, mabosi wa Yanga...