YANGA WAFUNGUKIA ISHU YA KUMCHUKUA LUIS MIQUISSONE

0
 UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa hakuna kinachoshindikana kuhusu ishu ya nyota wa Simba Luis Miquissone anayetajwa kutua hapo kwa mkopo akitokea Klabu ya...

RASMI…RAIS SAMIA AFUTA NYAYO ZA KAGAME..AAMUA KUMWAGA MAMILIONI MICHUANO YA CECAFA

0
RAIS Samia Suluhu Hassan, amekubali kuwa mdhamini wa michuano ya Kombe la CECAFA Wanawake, linalozishirikisha timu za nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki na...

DUH! UNAAMBIWA KIPA MPYA YANGA ANADAKA MPAKA MISHALE

0
INJINIA Hers Said, Mjumbe Kamati ya Usajili wa Yanga amesema kuwa kipa ambaye amesajiliwa kutoka nchini Mali, Diarra Djigui anadaka mpaka mishale.Nyota huyo inaelezwa...

VIDEO; KOCHA SIMBA ANAAMINI WATAJENGA UFALME KWENYE SOKA LA VIJANA

0
KOCHA wa timu ya vijana ndani ya Simba, Mussa Mgosi amesema kuwa wachezaji aliokuwa anawatafuta katika mchujo tayari amepata timu kamili jambo ambalo linampa...

SAKATA LA MORRISON NA YANGA NGOMA BADO MBICHI

0
MAHAKAMA ya usuluhishi ya masuala ya kimichezo CAS bado haijaweza kutoa maamuzi yoyote yale kuhusu kesi ya mchezaji wa Simba kwa sasa Bernard Morrison...

LWANDAMINA: TUNAREJESHA UTIMAMU WA WACHEZAJI

0
GEORGE Lwandamina,  Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wachezaji wake walikuwa wanafanya mazoezi ya utimamu wa mwili katika mchezo wa kirafiki dhidi Red...

NDEMLA NDIO BASI TENA MSIMBAZI…ARUDISHWA BONGO KIMYA KIMYA…KUVAA UZI WA KIJANI AU…

0
WAKATI mashabiki wa Simba wakisubiri kuona ni wachezaji gani wanaachwa katika kikosi chao kuelekea msimu mpya wa Ligi Kuu Bara na michuano ya kimataifa,...

VIDEO:TAMBO ZA MZEE WA MAJENEZA, AZUNGUMZIA ISHU YA HAJI MANARA

0
MZEE majeneza ambaye ni shabiki wa Yanga amesema kuwa uzinduzi wa jezi wa Yanga ni kali huku akizungumzia kuhusu suala la Haji Manara.  

REAL MADRID WABISHI, WAWEKA MKWANJA WA MAANA KUIPATA SAINI YA MBAPPE

0
KLABU ya Real Madrid bado haijakata tamaa kuhusu kuipata saini ya mshambuliaji wa PSG, Kylian Mbappe kwa kuamua kuwasilisha bonge moja ya ofa.Sasa Real...

HARRY KANE BADO YUPOYUPO SANA TOTTENHAM

0
HARRY Kane amesema kuwa kwa sasa hataondoka ndani ya kikosi cha Tottenham atabaki kwa msimu mzima baada ya dili lake la kuibukia Manchester City...