SIMBA KAZINI TENA LEO MOROCCO

0
KIKOSI cha Simba kikiwa nchini Morocco ambapo kimeweka kambi kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2021/22 leo kinatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki ili...

BAYERN MUNICH YAPIGA MTU 12

0
KLABU ya Bayern Munich yaichapa mabao 12 Bremer SV katika mchezo wa raundi ya kwanza katika mchezo wa raundi ya kwanza ndani ya German...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI

0
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi 

JOHN BOCCO, MZAWA ALIYEVUNJA UFALME WA WAGENI

0
 AKIWA ni mzawa namba moja kwa kucheka na nyavu na kinara kwa wacheka nyavu kwa msimu wa 2020/21 ndani ya Ligi Kuu Bara, John...

WINGA SIMBA KUIBUKIA RUVU SHOOTING

0
 NYOTA wa zamani wa Simba, Rashid Juma anatajwa kuingia kwenye rada za Ruvu Shooting kwa ajili ya kukipiga hapo kwa msimu wa 2021/22.Winga huyo...

VIDEO: YANGA YATOA TAMKO ISHU YA SAKATA LA MORRISON, JEZI MPYA KALI

0
KAIMU Katibu wa Yanga, Haji Mfikirwa amesema kuwa timu yao ilikuwa kwenye kambi bora nchini Morocco na ishu ya kureja kwao Tanzania haina maana...

VIDEO: KAZI YA KWANZA YA HAJI MANARA YANGA, APIGA MKWARA

0
BAADA ya jana Agosti 24 Haji Manara aliyekuwa Ofisa Habari wa Simba kutambulishwa ndani ya Yanga kazi yake ya kwanza ilikuwa ni ya uzinduzi...

VIDEO: JUMA KASEJA, NAHITAJI HESHIMA TU,ATAJA UCHAWI WAKE

0
JUMA Kaseja, Tanzania One, ameweka wazi kuwa msimu wa 2019/20 ambapo alipata majeraha mengi, ila msimu wa 2020/21 alikosekana kwenye mechi sita pekee huku...

KIPA LIGI KUU BARA MAMBO YAKIWA MAGUMU KUGEUKIA UDAKTARI

0
 MUSSA Mbissa kipa namba moja ambaye aliokota mabao mengi nyavuni kwa msimu wa 2020/21 amesema kuwa mambo yakiwa magumu kwenye soka atarejea kwenye fani...

NABI: BADO TIMU HAIJAPATA MUUNGANIKO KWA SASA

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nassredine Nabi amebainisha kwamba bado timu yake haijawa na muunganiko bora licha ya kwamba ilikuwa imeweka kambi nchini Morocco.Jana, Agosti...