GOMES AFURAHISHWA NA UWEZO WA WACHEZAJI WAKE
DIDIER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa maandalizi ya msimu ujao yanakwenda vizuri huku akifurahishwa na uwezo wa wachezaji ambao wanauonyesha.Mchezo mmoja wa...
HUU HAPA UZI MPYA WA YANGA, MANARA AUTAJA KUWA BORA
KLABU ya Yanga leo Agosti 25, 2021 wamefanya uzinduzi wa jezi mpya za msimu wa 2021/22 kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es...
WALIOITWA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA WAFANYE KAZI, MAANDALIZI MUHIMU
KAMBI zinazidi kuendelea kwa sasa kwa timu shiriki katika Ligi Kuu Bara, Ligi Daraja la Kwanza kwa sasa Championship Tanzania mpaka Ligi ya Wanawake...
VIDEO:UZINDUZI WA JEZI ZA YANGA, MANARA AMESEMA TUNACHUKUA LA 28
UZINDUZI wa jezi mpya wa Yanga, mashabiki wabainisha kwamba ni Haji Manara mwenyewe amesema, amerudi nyumbani na wamebainisha kwamba watachukua taji kabla ya mechi...
MUONEKANO MPYA WA AJIBU WAZUA GUMZO KINOMA
WAKIWA nchini Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2021/22, ghafla gumzo kubwa limekuwa juu ya muonekano mpya wa kiungo wa Simba, Ibrahim...
VIDEO: HAJI MANARA AMKINGIA KIFUA MKEWE, ASEMA NI MAHABA TU
HAJI Manara aliyekuwa Ofisa Habari wa Simba na kwa sasa ni mtumishi mpya ndani ya kikosi cha Yanaga amebainisha kwamba wasimsingizie mke wake kuwa...
AZAM FC KUTESTI MITAMBO LEO ZAMBIA
KIKOSI cha timu ya Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina leo kinatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Red Arrows kwa ajili...
VIDEO: HAJI MANARA ATANGAZA VITA SIMBA,APANIA KUIA SIMBA,KESI YA MORISSON YAFUNIKWA
HAJI Manara ambaye jana Agosti 24 ametambulishwa kuwa ndani ya kikosi cha Yanga akitokea Simba, ametangaza vita,apania kuia Simba, kesi ya Bernard Morisson yafunikwa.
VIDEO: KOCHA YANGA ANAAMINI KUNA JAMBO AMELIPATA, SAIDO ATUMA UJUMBE
KIUNGO wa Yanga, Said Ntibanzokiza, 'Saido' amesema kuwa mashabiki wa timu hiyo watarajie mambo mazuri kutoka kwa timu hiyo kwa msimu mpya wa 2021/22...
KIKOSI CHA KWANZA CHA SIMBA MSIMU MPYA 2021/22
WAKIWA ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 ni huduma ya nyota wawili ambao mpaka sasa ni uhakika kwamba watawakosa katika...