LIVERPOOL WANAISAKA SAINI YA NAHODHA INSIGNE

0
 NYOTA wa kikosi cha Napoli ambeye ni nahodha pia Lorenzo Insigne aliyefanya vizuri katika EURO 2020 saini yake inagombaniwa na timu nyingi ikiwa ni...

VIDEO:TAZAMA NAMNA YANGA WALIVYOTUA BONGO ‘KININJA’

0
BAADA ya kuvunja kambi nchini Morocco, mabingwa mara 27 wa Lgi Kuu Tanzania Bara Yanga walirejea Bongo kininja namna hii:-  

JEZI YA MESSI YAOGOPWA BARCELONA

0
IMEELEZWA kuwa jezi namba 10 ndani ya kikosi cha Barcelona wengi wanaigwaya kwa sasa kutokana na rekodi ambazo aliziweka mwamba huyo ambaye kwa sasa...

BODI YA LIGI KUKAGUA VIWANJA VYOTE VITAKAVYOTUMIKA 2021/22

0
 KUELEKEA msimu mpya wa 2021/22 ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara ,(TPLB) imepanga kumaliza zoezi la kukagua viwanja ...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano 

DUH1 LUNINI ATUMIA MIAKA MITATU KUHCEZA MECHI MBILI

0
 IMEBAINIKA kwamba kipa wa Real Madrid, Andriy Lunini amecheza mechi mbili katika miaka mitatu ambayo ameitumikia ndani ya timu hiyo inayoshiriki La Liga.Katika mechi...

VIDEO: HAJI MANARA, NAIPENDA YANGA, NITAFANYA KAZI ZAIDI YA PUNDA MWENYE NJAA

0
BAADA ya kutambulishwa kuwa miongoni mwa Wanachama wa Yanga,leo Agosti 24 Haji Manara aliyekuwa Ofisa Habari wa Simba amesema kuwa yeye ni Yanga na...

HAJI MANARA:NINAPENDA VIKOMBE, NITAFANYA KAZI YANGA KWA NGUVU ZAIDI

0
 ALIYEKUWA Msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara ametambulishwa rasmi kujiunga na Klabu ya Yanga baada ya kuachana na mabosi wake wa zamani ambao...

ULA UTATA KUHUSU UHALALI WA AUCHO NA YANGA…UMEFIKIA HATUA HII..MWENYEWE AVUNJA UKIMYA

0
MZIKI umekamilika. Ndio, Yanga mziki umeenea na kilichobaki kwa sasa kazi imebaki kwa makocha tu baada ya staa wao wa mwisho katika kikosi chao...

HARDER NI MWANAMKE WA KAZI

0
 MOJA ya wasakata soka ghali kwa upande wa wanawake, huwezi kumuweka kando Pernille Harder ambaye anakipiga ndani ya Klabu ya Chelsea. Aliletwa duniani Novemba 15,1992...