ROBERT LEWANDOWSKI MWAMBA ANAYETABASAMU HUKU AKIWALIZA WENGINE
TABASAMU kwake ni jambo la kawaida kila wakati akiwa ameweza kuyeyusha jumla ya miaka 32 kwa neema za Mungu akiwa katika afya bora na...
KWA MKWANJA HUU CHAMA, LUIS WANGEACHAJE KUSEPA MSIMBAZI?
WE ungeweza? Hilo ni swali unalopaswa kujiuliza au kumuuliza shabiki wa soka au mdau anayehoji kuuzwa kwa waliokuwa nyota watatu kwenye Ligi Kuu Bara...
SIMBA YAMPA KAKOLANYA POLE, SISI SOTE NI FAMILIA,POLE KAKOLANYA
DIDER Gomes, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa msiba alioupata kipa wao namba mbili ni wa familia nzima ya Simba kwa kuwa wanaishi kwa...
FAMILIA WAWEKA WAZI SABABU YA KIFO CHA MWL KASHASHA..ALILAZWA KWA WIKI MBILI
MCHAMBUZI mahiri wa kandanda hapa nchini Mwalimu Alex Kashasha amefariki Dunia jana saa 9 alasili katika Hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam.Kashasha alikuwa...
EDO KUMBWEMBE AWACHANA WACHEZAJI WA KIBONGO KISA PESA ZA WAARABU..AMTAJA MSUVA
TUNAZUNGUMZIA zaidi kuhusu pesa ambazo Simba na Yanga wamepata katika mauzo ya Clatous Chama, Jose Louis Miquissone na Tuisila Kisinda. Nasikia pia sehemu ya...
BREAKING: YANGA YAMALIZANA NA BEKI KISIKI WA KAZI
WAMEJIBU ghafla mabosi wa Yanga baada ya muda mfupi watani zao wa jadi kumtambulishwa Sadio Kanoute hawajapoa kwa kuwa wameachia nao mashine ya kazi.Anaitwa...
KUELEKEA MSIMU MPYA….WACHEZAJI YANGA KUKATWA LAKI MBILI WAKIZINGUA
Kocha wa Yanga Nesreddine Nabi amewataka wachezaji wake kuhakikisha kila mmoja anaheshimu muda na katika kusimamia hilo ametangaza adhabu katika maeneo tofauti ambayo atakutana...
RASMI, SIMBA YAINASA SAINI YA KIUNGO KUTOKA MALI KWA TSH MILIONI 300
RASMI leo Agosti imemtambulisha kiungo aliyekuwa anakipiga ndani ya Al Ahly Benghazi ya Libya, Sadio Kanoute mwenye umri wa miaka 24 kuwa mali mpya ya...
AZAM FC KAMILI GADO KWA MSIMU UJAO
KIKOSI cha Azam FC kinaendelea na mazoezi kwa ajili ya kujiweka sawa kwa msimu wa 2021/22 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa.Mtendaji Mkuu wa Azam...
YANGA; TUNAJUKUMU LA KUONYESHA UKUBWA WETU, JEZI YA MSIMU HUU KALI
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kwamba kuelekea kwenye wiki la Mwananchi ni lazima kila mmoja ajitolee kwa hali na mali ili kukamilisha jambo hilo. Kaimu...