EXCLUSIVE:MEDDIE KAGERE AFUNGUKIA ISHU YAKE KUITWA MZEE
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa yeye hajali kuhusu wale ambao wanazungumzia umri wake ila kikubwa ambacho anaangalia ni kile ambacho anakifanya. Amesema...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumanne
SIMBA MWENDO WA DOZI TU, YAIVUTIA KASI YANGA
KUELEKEA mchezo wao wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga utakaopigwa Septemba 25, mwaka huu, Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes amelazimika kuwapa dozi...
WAZIRIJUNIRO WA YANGA AINGIA ANGA ZA MTIBWA SUGAR, POLISI TANZANIA
KUNA kila dalili straika wa Yanga, Waziri Junior akatimka ndani ya Yanga baada ya timu kibao kutaka kumnunua na zingine zikimtaka kwa mkopo wa...
KAMWAGA WA SIMBA YADAIWA KUBWAGA MANYANGA
IMEELEZWA kuwa Kaimu Ofisa Habari wa Klabu ya Simba, Ezekiel Kamwaga amebwaga manyanga ndani ya kikosi hicho.Kamwaga alichukua mikoba ya aliyekuwa Ofisa Habari wa...
ILE ISHU YA AZAM FC KUBADILI LOGO …KUMBE NYUMA YA PAZIA SABABU NI HIZI...
KLABU ya Azam FC imezindua nembo mpya ya timu hiyo kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2021-22 na michuano ya...
RASMI, ISRAEL MWENDA NI MALI YA SIMBA
ISRAEL Mwenda, beki wa kulia kutoka Klabu ya KMC kwa sasa ni mali ya Simba baada ya kutambulishwa rasmi leo Agosti 16.Nyota huyo alikuwa...
JAMA..JAMA..KWA MAVITU YA HUYU PAPE SAKHO..MSIMU UJAO LITAKUFA JITU HUKO
Baada ya kukamilisha usajili kiungo mshambuliaji Pape Ousmane Sakho ameanza mazoezi pamoja na wachezaji wenzake katika kambi inayoendelea nchini Morocco.Licha ugeni kikosini Sakho ameonyesha...
SIMBA: CHAMA ALIOMBA KUONDOKA, MKWANJA TULIOWAUZA NI MREFU
UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba jitihada za kumbakisha nyota wao Clatous Chama ziligonga mwamba baada ya mchezaji huyo lkuomba kupata changamoto mpya.Leo Agosti 16...
STRAIKA MPYA YANGA ASHTUA..FAMILIA YAKE WAFUNGUKA HAYA KUMUHUSU..
KLABU ya Yanga imesajili nyota wapya 11 wakiwamo mapro wa kigeni saba, lakini kuna straika mpya mzawa Athuman Yusuf aliyenaswa kutoka Biashara United, amemshtua...