AZAM FC YAMTABULISHA JONAS TIBOROHA

0
 UONGOZI wa  Azam FC, leo Agosti 16 umemtambulisha Mkurugenzi wa Masuala ya Mpira, Jonas Tiboroha ambaye atafanya kazi ndani ya timu hiyo.Akizungumza na Waandishi...

HALI YA HEWA MORROCO KWA SIMBA FRESH TU

0
KIKOSI cha Simba kinaendelea na mazoezi nchini Morocco kwa ajili ya msimu mpya wa 2021/22 huku kocha akibainisha kuwa haki ya hewa haina tatizo...

MAKAMBO APANIA KUFANYA MAKUBWA NDANI YA YANGA

0
 HERITIER Makambo, nyota mpya wa Yanga amesema kuwa anaamini kwamba atafanya vizuri ndani ya timu hiyo kwa msimu mpya wa 2021/22 katika Ligi Kuu...

CITY YAPOTEZA MBELE YA TOTTENHAM

0
NUNO Espirito Santo, Kocha Mkuu wa Tottenham kikosi chake kwenye mchezo wa Ligi Kuu England kimewatikisa mabingwa  watetezi wa Ligi Kuu England, Manchester City...

CHELSEA YAANZA KWA USHINDI ENGLAND

0
 KLABU ya Chelsea imesepa na pointi tatu mazima mbelw ya Crystal Palace katika mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Stamford Bridge.Baada ya...

BREAKING: RASMI, SIMBA YATHIBITISHA UHAMISHO WA LUIS NA CHAMA

0
UONGOZI wa Simba umetoa taarifa rasmi leo Agosti 16 kuhusu wachezaji wake wawili ambao ni Luis Miquissone na Clatous Chama kupewa ofa kutoka timu...

GOMES AKOMALIA WACHEZAJI WAKE KUTUPIA, KAMBI MOROCCO IMEPAMBA MOTO

0
 KOCHA wa Simba, Didier Gomes, amesema kuwa moja kati ya programu ambayo anaitilia mkazo kwa sasa akiwa Morocco ni wachezaji wake kufunga mabao ya mbali.Gomes alisema kuna kazi nyingi za kufanya akiwa Morocco,...

MUZIKI WA SIMBA, KIKOSI CHAKE KIPO HIVI, YANGA YAMALIZANA NA LITOMBO, NDANI YA CHAMPIONI...

0
 MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatatu, Agosti 16,2021.

VIDEO:VIKOSI VITATU VYA YANGA, MIFUMO MITATU INAJIBU

0
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kutokana na usajili ambao wameufanya kwa sasa wana uwezo wa kutumia mifumo mitatu katika kikosi...

VIDEO:MAKAMBO AWATUIA UJUMBE SIMBA, APIGA HESABU ZA KUFUNGA

0
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Heritier Makambo amesema kuwa anauhakika wa kufanya vizuri ndani ya Ligi Kuu Bara na atafunga kila anapopata nafasi. Nyota huyo aliibuka Yanga...