TANZIA: GERD MULLER NYOTA WA BAYERN AFARIKI
NYOTA wa zamani wa Bayern Munich na Ujerumani, Gerd Mueller amefariki dunia leo hii akiwa na umri wa miaka 75Muller ameaga dunia huku akiwa...
VIDEO:SIMBA YAMTAMBULISHA BEKI MPYA
KIKOSI cha Simba leo Agosti 15 kimemtambulisha nyota mpya mwenye miaka 26 ambaye ataitumikia timu hiyo msimu wa 2021/22 yeye ni beki.Ni raia wa...
MZEE WA KUCHETUA BM AMTAJA KIUNGO BORA KWA UKABAJI TANZANIA
MZEE wa kuchetua Bernard Morrison amesema kuwa maisha ndani ya Simba ni raha huku akifurahi uwepo wa Jonas Mkude ambaye alikuwa nje ya kikosi...
VIDEO:NAMNA YANGA WALIVYOKWEA PIPA KUELEKA MOROCCO
KIKOSI cha Yanga leo kimekwea pipa kueleka Morocco ambapo kituo cha kwanza itakuwa ni Dubai kisha wataunganisha safari kuelekea Morocco kwa ajili ya kambi...
TFF YATOA UFAFANUZI KUHUSU WACHEZAJI 12 WA KIMATAIFA
WALLACE Karia, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) amesema kuwa wameongeza idadi ya wachezaji wa kigeni ambao watasajiliwa kwenye timu kwa ajili ya...
VIDEO: KUMBE JEMBE ALIKATAZWA KUWA MWANDISHI, SABABU YA JINA YAWEKWA WAZI, ANACHANA
SALEH Jembe ameweka wazi kwamba ana uwezo mkubwa wa kucheza mpira na huko ndiko ambapo jina la Jembe lilianzia, pia amebainisha kwamba alikuwa anakatazwa...
BREAKING:SIMBA YAMTANGAZA MCONGO MPYA, YEYE NI BEKI
KIKOSI cha Simba leo kimemtambulisha nyota mpya ambaye ni beki kutoka nchini Congo.Ni mchezaji wa timu ya Taifa ya Congo DR na beki kisiki,...
AZAM FC KUWEKA KAMBI ZAMBIA
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kwamba hesabu zao kwa msimu wa 2021/22 zinaendelea na mpango kwa timu hiyo ni kuweka kambi nchini Zambia...
JEMBE JINGINE HILI LA KAZI LAJIFUNGA MIAKA MITATU SIMBA
IMEELEZWA kuwa Klabu ya Al Ahly Benghazi ya Libya imetangaza kuondoka kwa kiungo Sadio Kanoute mwenye umri wa miaka 24 ndani ya kikosi chao.Kiungo...
YANGA SAFARI IMEWADIA, KUIBUKIA MOROCCO
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu,Nasreddine Nabi leo Agosti 15 kimeanza safari ya kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao...