VIDEO:MENEJA WA PETER BANDA AFUNGUKIA ISHU YA NYOTA HUYO KUTAKIWA NA SIMBA
MENEJA wa Peter Banda, Mohamed Mshangama ameweka wazi kuwa mchezaji huyo alikuwa na ofa nyingi kutoka timu za Dar na alikuwa akimuuliza wakati mwingi...
KOMBE LA KAGAME MIKONONI MWA EXPRESS YA UGANDA
TIMU ya Express ya Uganda imetwaa taji la Kagame Cup 2021 kwenye ardhi ya Tanzania baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Big...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili
BAADA YA KUMMALIZA MANARA…HANS POPE AIBUKA NA KUTOA ONYO KALI MSIMBAZI
Mjumbe wa Bodi ya wakurungezi ya klabu ya Simba Zacharia Hanspope amesema kuwa klabu ya Simba iko mbali sana kwa sasa huwezi kuifanananisha na...
DICKOSN AMBUNDO ACHEKELEA DILI LAKE KUJIBU YANGA
DICKSON Ambundo, ingizo jipya ndani ya Yanga ameweka wazi kuwa ni furaha kwake kuweza kusaini ndani ya timu hiyo hivyo atapambana kwa ajili ya...
TFF WARIDHIA ONGEZEKO LA WACHEZAJI, SASA USAJILI NI WACHEZAJI 40 KWA 12
Rais wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF) Wallace Karia, ameweka wazi kuwa sasa wachezaji wa kigeni watakaosajiliwa na timu watakuwa 12 huku timu zikiruhusiwa...
VIDEO: AZAM FC YATAMBULISHA NEMBO MPYA, WACHEZAJI 12 KIMATAIFA
AZAM FC leo Agosti 14 wamezindua nembo mpya ambayo imeanza kutumika kuitambulisha timu hiyo, Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin ametaja sababu ya...
MANCHESTER UNITED YAFUNGUA LIGI KWA KISHINDO, YATEMBEZA 5 G
MANCHESTER United leo wamefungua Ligi Kuu England kwa ushindi wa mabao 5-1 dhidi ya wapinzani wao Leeds katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Old Trafford. Nyota...
RASMI:SIMBA YATAMBULISHA JEMBE LA KAZI
RASMI kikosi cha Simba leo kimemtambulisha Pape Ousmane Sakho raia wa Senegal mwenye miaka 24.Nyota huyo anakuwa ingizo jipya la nne ndani ya Simba...
MTIBWA SUGAR HESABU ZAO ZIPO NAMNA HII
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umeweka wazi kwamba watafanya usajili bora ambao utawafanya wafanye vizuri msimu wa Ligi Kuu Bara wa 2021/22.Msimu uliopita Mtibwa Sugar...