TEGETE:TUMUOMBEE MAKAMBO, SIMBA NA YANGA MECHI ZOTE PRESHA
NYOTA wa zamani wa Yanga, Jerson Tegete amesema kuwa usajili ambao unafanywa ndani ya Yanga kwa sasa upo vizuri hivyo kikubwa ambacho kinatakiwa ni...
BREAKING: YANGA YATAMBULISHA MAJEMBE MAWILI, YUPO MRITHI WA KISINDA
UONGOZI wa Yanga leo Agosti 13 umewatambulisha nyota wao wawili ambao watakuwa ndani ya kikoi hicho kwa msimu wa 2021/22. Djuma ni beki ambaye...
LWANGA AMKATAA MKUDE KIAINA..AFUNGUKA KUHUSU MGUU WAKE
KIUNGO mkabaji wa Simba, Thadeo Lwanga amesema baada ya kupata uzoefu msimu uliyoisha wa namna Ligi Kuu Bara inavyochezwa, imepata taswira ya kufanya majukumu...
VIDEO: MZEE WA UPOPOLO AKASIRIKA ISHU YA KISINDA KUUZWA, ATUPA DONGO ISHU YA USAJILI
MZEE wa Utopolo ameweka wazi kwamba suala la Yanga kumuuza mchezaji wao Tuisila Kisinda aliyeuzwa nchini Morocco ni pigo huku akitupa dongo kimtindo kuhusu...
RAIS CAF AWASILI DODOMA
RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Patrice Motsepe amewasili leo Agosti 13, 2021 Jijini Dodoma kwa ajili ya ziara ya kikazi.Baada ya kuwasili...
SIMBA YATHIBITISHA KUSEPA KWA CLATOUS CHAMA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kwamba msimu ujao hautakuwa na nyota wao Clatous Chama ambaye amepata dili la kujiunga na Klabu ya RS Berkane.Mbali...
WEWEEH..AJIBU BADO YUPO SANA MSIMBAZI..AONGOZA NYOTA HAWA WAPYA KWENDA MOROCCO
BAADA ya Soka la Bongo kuripoti kuwa kiungo wa Simba, Ibrahim Ajibu amesaini mkataba wa miaka miwili kuendelea kuwatumikia wekundu hao wa Msimbazi, nyota...
KADIMA KABANGU: NAKUJA SIMBA KUKIWASHA
KADIMA Kabangu anatajwa kuibukia ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes kwa ajili ya msimu ujao wa 2021/22 ambapo yeye...
ORODHA YA NYOTA WA YANGA WATAKAOIBUKIA MOROCCO KWA KAMBI
KIKOSI cha Yanga kinatarajiwa kuibukia nchini Morocco kwa ajili ya kuweka kambi ya muda wa siku 11 ikiwa ni maandalizi ya Ligi Kuu Bara,...
MANARA AVURUGA MASHABIKI ZANZIBAR..KAULI ZAKE ZA KUKERA ZAZUA TAHARUKI
BAADHI ya mashabiki wa mpira wa miguu Unguja wamesema msimu wa 2021-2022 wa Ligi Kuu Bara hautakuwa na msisimko mkubwa kutokana na kung’atuka kwa...