KMC KUWA NA NYOTA WA KAZI ZAIDI YA 30 MSIMU UJAO
UONGOZI wa Klabu ya KMC umeweka wazi kwamba kwa msimu ujao utakuwa na kikosi kazi ambacho kitajumuisha jumla ya wachezaji 30.KMC yenye maskani yake...
VIDEO:NYOTA WATATU WAPYA WA YANGA KUTUA LEO
LEO Ijumaa nyota watatu wa Yanga wanatarajiwa kutua kwa ajili ya kujiunga na kikosi hicho ambacho kinahesabu za kukwea pipa kueleka Morocco kwa maandalizi...
LUKAKU ACHEKELEA KURUDI CHELSEA
MSHAMBULIAJI Romelu Lukaku raia wa Ubelgiji amesema kuwa anafuraha ya kurudi ndani ya kikosi cha Chelsea ambapo atakuwa hapo kwa msimu ujao ndani ya Ligi...
HIZI HAPA SABABU ZA BEKI MPYA WA SIMBA HENOC ‘VARANE’ KUSEPA BONGO
Beki kutoka DR Congo Henoc Inonga Baka ‘Varane’ amesafiri jana Alhamis kuelekea mjini Casablanca nchini Morocco, kwa ajili ya kujiunga na wachezaji wa Simba...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
BREAKING:DAVID BRYSON ATAMBULISHWA YANGA
RASMI sasa leo Agosti 12, Yanga wamemtambulisha nyota wao mpya David Bryson ambaye alikuwa anakipiga ndani ya Klabu ya KMC.Beki huyo wa kushoto ni...
ROMELU LUKAKU ANA TUZO MBILI ZA UFUNGAJI BORA
ROMELU Lukaku, raia wa Ubelgiji alijiunga na Klabu ya Inter Milan inayoshiriki Seria A, Agosti 8,2019 na mkataba wake unatarajiwa kumeguka Juni 30,2024 lakini...
SIMBA BANA..WASAJILI STRAIKA ‘ALIYESHINDWA KAZI’ TUNISIA..GOMES AFUNGUKA
SIMBA iko kwenye hatua nzuri ya kumalizana na straika Mghana, Abdul Basit Khalid aliyeachana na Esperance ya Tunisia . Habari za uhakika kutoka ndani...
KOCHA MHOLANZI AFUNGUKA ISHU YA KUWAPELEKA YANGA FIFA
ALIYEKUWA kocha wa Yanga, Mholanzi Hans Van Der Pluijm amethibitisha kuwa kuna uwezekano mkubwa akaifungulia mashitaka klabu ya Yanga kwa Shirikisho la soka la...
STRAIKA MKONGO ANATUA KUKAMILISHA DILI LA KUJIUNGA NA SIMBA
MSHAMBULIAJI wa DC Motema Pembe ya nchini DR Congo, Kadima Kabangu amefunguka kuwa tayari ameshamalizana na Simba na wiki hii kila kitu kitakuwa sawa...